Mnaokula Kitimoto, Kuleni "Kwa Raha Zenu," Yesu Ameruhusu

Sawa kahalalisha je hoja yako ni nini
Sasa unashangaa nini kwa wakristo kusema kuwa yesu kahalalisha wao wale nguruwe ? Au mwenye idhini ya kuharamisha na kuharalisha ni mtume muhammad tu

Maana muhammad kaharamisha pombe ambayo hata mitume wa kale walikuwa wanatumia na ushahidi ni siku ya kuharamishwa pombe maswahaba walikuwa wanakunywa aya ilipo shaka wengine waka mwaga pombe kwenye vikombe vyao yaani walikatisha kunywa.
 
Nimeshangaa wapi kuwa yesu kahalalisha nguruwe itakuwa umejichanganya
 
Hata adamu na hawa siyo lile tunda lililo ingia tumboni bali ni lileneno la mungu kuwa msile tunda...siku waliyo hamua kula ni lazima dhamila mbaya kutoka moyoni mwao ndiyo iliyo wakosesha
1. Biblical Evidence for a Real Fruit
Genesis 2:16-17 (KJV)
ā€œAnd the LORD God commanded the man, saying, Of every tree of the garden thou mayest freely eat: But of the tree of the knowledge of good and evil, thou shalt not eat of it: for in the day that thou eatest thereof thou shalt surely die.ā€
This passage suggests that the tree was a physical entity, just like other trees in the garden, bearing real fruit.

Genesis 3:6 (KJV)
ā€œAnd when the woman saw that the tree was good for food, and that it was pleasant to the eyes, and a tree to be desired to make one wise, she took of the fruit thereof, and did eat, and gave also unto her husband with her; and he did eat.ā€
The fact that Eve saw the fruit, desired it, took it, and ate it implies a real, tangible object.
Genesis 3:7 (KJV)
ā€œAnd the eyes of them both were opened, and they knew that they were naked; and they sewed fig leaves together, and made themselves aprons.ā€
The immediate effect of eating the fruit suggests an act involving a real substance that triggered a change.

2. Context of the Garden of Eden
The Garden of Eden contained many real trees that produced fruit (Genesis 2:9).
The Tree of Life, also mentioned in the same passage, is considered real, suggesting that the Tree of Knowledge was also literal.

3. The Role of the Serpent
The serpent tempted Eve by questioning God's command (Genesis 3:1), reinforcing the idea that eating was a real act, not just a symbolic one.
If the serpent's deception was about a physical act, it strengthens the argument that the fruit was a real entity.

4. Consequences of Eating the Fruit
Adam and Eve were physically removed from Eden (Genesis 3:23-24), showing that their sin had tangible, physical consequences.

Physical death (mortality) entered the world (Genesis 3:19).
Since the consequences were real and physical, the act that caused them was also real.
 
Sasa hapo ndiyo umeeleza nini
 
Nime kuongelea kwa mujibu wa waislamu wenzio...tumia akili jiongeze
Kumbe ulikuwa unaniambia masuala ambayo mimi sikuyaongelea 😃
Halafu umeniuliza nashangaaje yesu kuhalalisha nguruwe wakati mimi sijaongelea masuala hayo
 
Mungu ameruhusu tule nyama yoyote ya wanyama aliowaumba. Yesu ni Mungu, alipokuja hapa duniani aliidhinisha tule hata kitimotošŸ–(nyama ya nguruwe).

Alitoa ruhusa hiyo katika Marko 7:14-23(BHN). Imeandikwa hivi:
Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, ā€œNisikilizeni nyote, mkaelewe. Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu kutoka nje kinachoweza kumtia mtu unajisi. Lakini kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia mtu unajisi.ā€ Mwenye masikio na asikie!

Alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano. Naye akawaambia, ā€œJe, hata nyinyi hamwelewi? Je, hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtu kutoka nje, hakiwezi kumtia unajisi, kwa maana hakimwingii moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?ā€ (Kwa kusema hivyo, Yesu alihalalisha vyakula vyote.)

Akaendelea kusema, ā€œKinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia unajisi. Maana kutoka ndani, moyoni mwa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi, uchoyo, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, kashfa, kiburi na upumbavu. Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu unajisi.ā€

Ila kama kwa kula kwako nyama unamkwaza ndugu yako, acha mara moja.

Warumi 14:21 (NEN)
Ni afadhali kutokula nyama wala kunywa divai au kufanya jambo lingine lolote litakalomsababisha ndugu yako ajikwae.
Mkuu, kwenye hili andiko kuna sehemu imetajwa jina la mmyama nguruwe? Hapo imetajwa kitu kiingiacho mdomoni. Sijaona Nguruwe ikitajwa.
 
Mungu ameruhusu tule nyama yoyote ya wanyama aliowaumba. Yesu ni Mungu, alipokuja hapa duniani aliidhinisha tule hata kitimotošŸ–(nyama ya nguruwe).

Alitoa ruhusa hiyo katika Marko 7:14-23(BHN). Imeandikwa hivi:
Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, ā€œNisikilizeni nyote, mkaelewe. Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu kutoka nje kinachoweza kumtia mtu unajisi. Lakini kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia mtu unajisi.ā€ Mwenye masikio na asikie!

Alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano. Naye akawaambia, ā€œJe, hata nyinyi hamwelewi? Je, hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtu kutoka nje, hakiwezi kumtia unajisi, kwa maana hakimwingii moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?ā€ (Kwa kusema hivyo, Yesu alihalalisha vyakula vyote.)

Akaendelea kusema, ā€œKinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia unajisi. Maana kutoka ndani, moyoni mwa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi, uchoyo, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, kashfa, kiburi na upumbavu. Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu unajisi.ā€

Ila kama kwa kula kwako nyama unamkwaza ndugu yako, acha mara moja.

Warumi 14:21 (NEN)
Ni afadhali kutokula nyama wala kunywa divai au kufanya jambo lingine lolote litakalomsababisha ndugu yako ajikwae.
Yesu hakuruhusu kula nguruwe wakati wa maisha yake hapa duniani kwa sababu alikuwa Myahudi na alifuata sheria za Kiyahudi. Kulingana na Torati (Walawi 11:7-8, Kumbukumbu la Torati 14:8), nyama ya nguruwe ilikuwa najisi na haikuruhusiwa kuliwa na Wayahudi.

Hata hivyo, baada ya Yesu kuondoka, mafundisho yake yalionyesha kuwa vyakula havimfanyi mtu kuwa najisi, bali kinachotoka moyoni (Marko 7:18-19). Pia, katika Matendo 10:9-16, Petro alipata maono kutoka kwa Mungu yakionyesha kwamba vyakula vyote vimefanywa kuwa safi, jambo lililotafsiriwa kama ruhusa kwa Wakristo kula vyakula vilivyokatazwa awali, ikiwa ni pamoja na nguruwe.

Kwa hivyo, wakati Yesu alipokuwa duniani, hakula nguruwe kwa kuwa alifuata sheria za Kiyahudi. Lakini baadaye, Wakristo walielewa kuwa hawajalazimika kufuata sheria za chakula za Agano la Kale.
 
Back
Top Bottom