Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepora wapiHakuna watu wajinga kama hawa walokole. Wapo tayari kumpa sijui mchungaji ama nabii maisha ya kipato chao chote kuliko kumpa mungu wa uhalisia. Utasikia baba hana gari, yanachanga. Gwajima, kuhani Mussa na Mwamposa ni zaidi ya majambazi.
Hatuwezi kua sawa mna wengine wanamfanyia Mungu hali ya kua Mungu katakasika na hayo mamboKila mtu Ana haki ya kuamini kile anachoamini na huwezi kumbadili!!Sio Lazima wote waamini unachoamini wewe ndio ubinadamu huo!!!Afu huku kwetu Africa mashariki hizo (Imani) namaanisha dini zililetwa na waarabu na wazungu na babu zetu walipokea na kila moja alivutia upande wake kwa kuiita imani yake dini ya haki!!!!!So waache tu hao watu na imani yao wana haki pia na nyote mpo sahii mbele za Mungu na mna haki sawa kiimani sababu wote viumbe wake!!!!
Ukienda Ukatoliki, Anglican, sabbato, kote huko wanasali kila week na wanatoa sadaka na mahubili yao hayana mwisho. Cha Jana kitarudiwa Mara elfu. Na watu wanatoa tuu. So shida IPO wapi kwa madabii na wengine wakifanya hivo?Huwa kweli nacheka sana nikiwasikiliza hawa manabii, mitume siJui maaskofu wanapowaingiza watu mkenge kuwachukulia pesa zao. Utasikia kama kiPindi hiki cha mwisho wa mwaka unaambiwa kutakuwa na ibada maalumu ya kufungua malango ya mwaka mpya.
Kumbuka wakati huohuo mwezi uliopita alikuja mhubiri huyo huyo kukutangazia ibada maalumu ya kufungua mafanikio yako maishani. Miezi miwilili iliyopita alikuja mhubiri kuKutangazia kutoa sadaka maalumu ya kufungua mafanikio ya kiuchumi. Jana usiku redioni umetangaziwa ibada inayoendana na saka (fedha!) ya kuharibu adui anayekula uchumi wako. Wiki iliyopita umetangaziwa kongamano la kuharibu laana za ukoo.
Mwaka jana uliitwa kwenye sadaka maalumu ya kuharibu laana ya ardhi. Sina muda wa kutaja haya makorokoro yote maana ni mengi mwenye kuongeza aongeze. Huwa najiuliza, HIVI HAWA WAUMINI SHIDA ZAO HUWA HAZIISHI WANAPOFIKA KWA HAO WAHUBIRI?? Maana kila siku wanaletewa topic mpya. Ni kama jana nimejifunza set theory kwenye hisabati lakini kwa sababu hisabati ina mambo mengi leo mwalimu amekuja na differential calculus.
Lakini wakati nipo darasani najua hisabati siyo set theory peke yake kuna topic nyingi. Lakini hawa wahubiri feki huwafanya waumii wao waamini kwamba siku hiyo waliyoipanga wenyewe kimchongo ili kuchota pesa ndiyo siku muumini anapewa kila kitu. Halafu kesho mhubiri yuleyule anabuni topic nyingine kukurudisha tena ale pesa zako.
Huwa njiuliza, SERIKALI ITAKAA MPAKA LINI KUWAACHA HAWA WEZI WANAOJIFICHA KWENYE KICHAKA CHA DINI KUWAIBIA WATU MCHANA KWEUPE WAKIAMINI MKONO WA SERIKALI HAUWEZI KUWAGUSA?????
MkuuHuwa kweli nacheka sana nikiwasikiliza hawa manabii, mitume siJui maaskofu wanapowaingiza watu mkenge kuwachukulia pesa zao. Utasikia kama kiPindi hiki cha mwisho wa mwaka unaambiwa kutakuwa na ibada maalumu ya kufungua malango ya mwaka mpya.
Kumbuka wakati huohuo mwezi uliopita alikuja mhubiri huyo huyo kukutangazia ibada maalumu ya kufungua mafanikio yako maishani. Miezi miwilili iliyopita alikuja mhubiri kuKutangazia kutoa sadaka maalumu ya kufungua mafanikio ya kiuchumi. Jana usiku redioni umetangaziwa ibada inayoendana na saka (fedha!) ya kuharibu adui anayekula uchumi wako. Wiki iliyopita umetangaziwa kongamano la kuharibu laana za ukoo.
Mwaka jana uliitwa kwenye sadaka maalumu ya kuharibu laana ya ardhi. Sina muda wa kutaja haya makorokoro yote maana ni mengi mwenye kuongeza aongeze. Huwa najiuliza, HIVI HAWA WAUMINI SHIDA ZAO HUWA HAZIISHI WANAPOFIKA KWA HAO WAHUBIRI?? Maana kila siku wanaletewa topic mpya. Ni kama jana nimejifunza set theory kwenye hisabati lakini kwa sababu hisabati ina mambo mengi leo mwalimu amekuja na differential calculus.
Lakini wakati nipo darasani najua hisabati siyo set theory peke yake kuna topic nyingi. Lakini hawa wahubiri feki huwafanya waumii wao waamini kwamba siku hiyo waliyoipanga wenyewe kimchongo ili kuchota pesa ndiyo siku muumini anapewa kila kitu. Halafu kesho mhubiri yuleyule anabuni topic nyingine kukurudisha tena ale pesa zako.
Huwa njiuliza, SERIKALI ITAKAA MPAKA LINI KUWAACHA HAWA WEZI WANAOJIFICHA KWENYE KICHAKA CHA DINI KUWAIBIA WATU MCHANA KWEUPE WAKIAMINI MKONO WA SERIKALI HAUWEZI KUWAGUSA?????
Dini hushamili zaidi katika jamii za watu masikini,umasikini na ujinga ndio mtaji wa watawala na baadhi ya wachungaji, mitume na manabii. Tunatafuta faraja ya matatizo yetu na shortcut za mafanikio .Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifaKwakweli ni upigaji sana alaf ukiangalia maisha ya hawa manabii wanavojiita ni matajir kupindukia,angalia kondoo ss.
Hvi ni kukosa elimu au?Serikali iingilie ksti wananchi wanaliwa sana pesa zao
Kila afanye anachoamini hakuna shidaHatuwezi kua sawa mna wengine wanamfanyia Mungu hali ya kua Mungu katakasika na hayo mambo
🤣🤣🤣matatizo ni mengi sana nchi hiiNyinyi mnaobeti mbona mpaka mnauza vitu vya nyumbani..watoto wanakosa mahitaji lakini hawawasemi...
Vumilianeni tu.. wote mmeshatekwa na pepo la umasikini na ujinga..
Aisee yni ukimuona mtu anapotea ndo umuache ivo ivo?Kila afanye anachoamini hakuna shida
Hata wao wanakuona wewe umepotea nduguAisee yni ukimuona mtu anapotea ndo umuache ivo ivo?