Mnaokwenda kwenye makanisa ya manabii, mitume, shida zenu huwa haziishi?

Mnaokwenda kwenye makanisa ya manabii, mitume, shida zenu huwa haziishi?

Kuna kutumwa na kujituma kipimo maandiko.
Palipo na feki original ipo.
Umenena vema. Na litmus test ya hawa wahubiri wa leo ni kwenye pesa tu. Hapo utajua nani wa kweli. Kipimo ni hicho tu.
 
Seriously. Mbona imani ya kuua na kuuza viungo vya albino imeshughulikiwa na serikali. Au hujui maana ya imani??
Hizo ni imani za giza lazima serikali inyooke nazo, serikali haishughuliki na imani za kwenye mwanga.Ule ni uhalifu na wanasiasa ndio walikuwa nyuma ya mchezo huo mchafu.
 
Sio makanisa yote kilokole Ni mabaya,Ila gaya ya mafuta mfano hasa ya mwamp ukipona kwao jiandae kufa kwa janga lingine ,Mimi Ni mlokole ila miujiza ya mafuta Ni hatari kuliko mnavyodhani kupona unaweza kupona Ila huchukui muda ujapatwa na kubwa kuliko
Hongera kwa kuwa na ufahamu
 
Hizo ni imani za giza lazima serikali inyooke nazo, serikali haishughuliki na imani za kwenye mwanga.Ule ni uhalifu na wanasiasa ndio walikuwa nyuma ya mchezo huo mchafu.
Usiseme GIZA. Huyo mungu wa mwanga wewe unamuona? Mambo yote ya kiimani yako kwenye unseen reality. Kwa hiyo kwa namna ya kibinadamu imani zote zipo gizani. The difference is which is evil and which is good. Kusema GIZA ni upungufu wa lugha tu
 
Kabla awajawa mitume labda
Kasome tena biblia agano jipya labda utaelewa. Hakuna mtume wa kanisa la mwanzo alikuwa na huu upuuzi wa mitume wa siku hizi. Jifunze pia historia ya kanisa hasa kwenye secular history uelewe vizuri
 
Usiseme GIZA. Huyo mungu wa mwanga wewe unamuona? Mambo yote ya kiimani yako kwenye unseen reality. Kwa hiyo kwa namna ya kibinadamu imani zote zipo gizani. The difference is which is evil and which is good. Kusema GIZA ni upungufu wa lugha tu
Kuna iman za giza na imani za nuru.
Mfano Dini kama Ukristo,Uyahudi, Uislamu, Rastafarian,nk wao ufanya mambo yao kwa uwazi bila kificho.
Zipo imani za giza wewe kama sio mwanachama wao sahau kuhusu yao mfano wachawi, freemason, nk.
Zinaitwa giza kwa sababu ni evil na zinaitwa nuru kwa sababu ni good.
 
Hawa wanaowatapeli na kuwaibia watu kwa kutumia maandiko ya biblia si wako kwenye hiyo imani ya kikristo? Or what is your argument? Kwamba kila anayetaja jina la Yesu yupo kwenye imani ya mwanga???
 
Hizo ni imani za giza lazima serikali inyooke nazo, serikali haishughuliki na imani za kwenye mwanga.Ule ni uhalifu na wanasiasa ndio walikuwa nyuma ya mchezo huo mchafu.
Kuwatapeli watu kwa kutumia biblia ni imani ya mwanga??
 
Palipo na original kuna feki.
Kutoa ni ibada ni agizo
Ndiyo sasa tumo humu kusema how to distinguish fake from original ili tuwasaidie wengine wasije kutoa wakidhani wanafanya ibada kumbe s
 
Kwani kumwabudu MUNGU ni isharaya kuwa na shida au kumfurahia muumba wako?
 
Back
Top Bottom