Mnaolalamika na kubeza Mbowe kwenda kuonana na Rais, Mlitaka afanye nini?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Amani Itawale kwenu Nyote!

Jana nahisi ilikua moja ya siku atakazozikumbuka Mwamba FAM kwenye Maisha yake hasa juu ya kesi iliyokua inamkabili yeye na wenzake ambapo DPP jana Aliamua kuifuta kesi hio au aliamua kutokuendelea nayo.

Baada ya taarifa ile shangwe nyingi zilikuepo niseme hata Mimi hapa nilifurahi sanaaaa kupita kiasi.

Sasa watu wakiwa na Furaha Mara Taarifa na picha zikatoka na ni Official zikimuonyesha Mbowe akiwa na Rais wa JMT hapo kila kitu kikaanza kunenwa tofauti hata humu kunawengine wameapia CCM itawale Milele kisa tu Eti Mwamba FAM kaonyesha Uzwazwa sa NAJIULIZA Ule ni Uzwazwa kweli? Au watu hatuelewi SIASA?

Mbowe kila siku Mi nasema na niseme hapa He is A Pure POLITICIAN anaelewa misingi ya Siasa yote sio mpuuzi kwenda Ikulu ni ulize tu Mtu ulikua na Kesi ya Ugaidi inafutwa halaf GAIDI unaitwa Ikulu unakataa sa unakataa vipi, si unaenda ili watu wenye kujiuliza wajiulize na wapate majibu ni Kweli huyu alikua GAIDI yani GAIDI aitwe Ikulu? Hili ndio swali Mlitakiwa kujiuliza jana kesi imefutwa ila inatakiwa tuendelee kufuata mambo madogomadogo ili tuelewe zaidi tusiiishe kwenye kusema Angesusa alichofanya FAM ni ukomavu wa Akili Mkubwa ndani ya SIASA.

Ni malize kwa kuuliza mlitaka Afanye Nini labda Nyie Waungwana?
 
Ni kukosa uelewa
Mkulu alienda Belgium akakutana na aliyepigwa risasi 16 lakini Mungu alimuokoa huku hamkupiga kelele eboooh
.
Ameonana na Mwenyekiti Mbowe baada ya kukaa gerezani siku zaidi ya 200

Hii ndio Tz Mwl Nyerere aliitengeneza Umoja wetu ndio nguzo
Wanaomlaumu Mwenyekiti ni kuwaacha kwani mioyo yao ni migumu na ya visasi...

Mbowe ni mwenye utu
 
Alitakiwa akutane na wanachama kwanza. Au leo angetoa taarifa kwa umma nini aliongea na Rais, na nini msimamo wa chama.
Ukimya wake una maana alitolewa kwa masharti akapelekwa kulishwa maneno na mtesi wake.
Lissu arudi aongoze mapambano Mbowe kafika bei.
 
Nchi hii tunajirudisha Nyuma wenyewe Mkuu nimekupata[emoji110]
 
Angefanya kama alicho fanya huyu bwana...Nelson Mandela

images (3).jpeg
 
Alitakiwa akutane na wanachama kwanza. Au leo angetoa taarifa kwa umma nini aliongea na Rais, na nini msimamo wa chama.
Ukimya wake una maana alitolewa kwa masharti akapelekwa kulishwa maneno na mtesi wake.
Lissu arudi aongoze mapambano Mbowe kafika bei.
Pangu pakavu tia mchuzi wewe niwale wanafiki wanao ishi kupitia migogoro wapenda vita
Mbowe alimshauri Rais mapema wakutane sasa amealikwa akatae!!
Anachopigania Mbowe ni Demokrasia kupitia Chama cha Chadema
 
Amani Itawale kwenu Nyote!

Jana nahisi ilikua moja ya siku atakazozikumbuka Mwamba FAM kwenye Maisha yake hasa juu ya kesi iliyokua inamkabili yeye na wenzake ambapo DPP jana Aliamua kuifuta kesi hio au aliamua kutokuendelea nayo.

Baada ya taarifa ile shangwe nyingi zilikuepo niseme hata Mimi hapa nilifurahi sanaaaa kupita kiasi.
Sasa watu wakiwa na Furaha Mara Taarifa na picha zikatoka na ni Official zikimuonyesha Mbowe akiwa na Rais wa JMT hapo kila kitu kikaanza kunenwa tofauti hata humu kunawengine wameapia CCM itawale Milele kisa tu Eti Mwamba FAM kaonyesha Uzwazwa sa NAJIULIZA Ule ni Uzwazwa kweli? Au watu hatuelewi SIASA?

Mbowe kila siku Mi nasema na niseme hapa He is A Pure POLITICIAN anaelewa misingi ya Siasa yote sio mpuuzi kwenda Ikulu ni ulize tu Mtu ulikua na Kesi ya Ugaidi inafutwa halaf GAIDI unaitwa Ikulu unakataa sa unakataa vipi, si unaenda ili watu wenye kujiuliza wajiulize na wapate majibu ni Kweli huyu alikua GAIDI yani GAIDI aitwe Ikulu? Hili ndio swali Mlitakiwa kujiuliza jana kesi imefutwa ila inatakiwa tuendelee kufuata mambo madogomadogo ili tuelewe zaidi tusiiishe kwenye kusema Angesusa alichofanya FAM ni ukomavu wa Akili Mkubwa ndani ya SIASA.

Ni malize kwa kuuliza mlitaka Afanye Nini labda Nyie Waungwana?
Mwamba yuko sahihi na hatua moja mbele ya wengi.
20220306_005423.jpg
 
Wengi wenu hapa mnabwabwaja tu lakini hata mahabusu tu hampafahamu. Miezi minane gerezani tena bila kosa unafikiri hata mentally unakuwa OK? Kuweni na ubinadamu bwana.

Baada ya kutulia na kupata counseling na huduma za afya ya ubongo, nategemea kuona kama huyu kamanda ataendelea na harakati zake za kudai katiba mpya kwa mbinu zile zile za shari na dharau...

Kwa maoni yangu apumzike uenyekiti na Lissu au Lema wampokee kijiti. Ameshafanya ya kutosha!
 
Amani Itawale kwenu Nyote!

Jana nahisi ilikua moja ya siku atakazozikumbuka Mwamba FAM kwenye Maisha yake hasa juu ya kesi iliyokua inamkabili yeye na wenzake ambapo DPP jana Aliamua kuifuta kesi hio au aliamua kutokuendelea nayo.

Baada ya taarifa ile shangwe nyingi zilikuepo niseme hata Mimi hapa nilifurahi sanaaaa kupita kiasi.
Sasa watu wakiwa na Furaha Mara Taarifa na picha zikatoka na ni Official zikimuonyesha Mbowe akiwa na Rais wa JMT hapo kila kitu kikaanza kunenwa tofauti hata humu kunawengine wameapia CCM itawale Milele kisa tu Eti Mwamba FAM kaonyesha Uzwazwa sa NAJIULIZA Ule ni Uzwazwa kweli? Au watu hatuelewi SIASA?

Mbowe kila siku Mi nasema na niseme hapa He is A Pure POLITICIAN anaelewa misingi ya Siasa yote sio mpuuzi kwenda Ikulu ni ulize tu Mtu ulikua na Kesi ya Ugaidi inafutwa halaf GAIDI unaitwa Ikulu unakataa sa unakataa vipi, si unaenda ili watu wenye kujiuliza wajiulize na wapate majibu ni Kweli huyu alikua GAIDI yani GAIDI aitwe Ikulu? Hili ndio swali Mlitakiwa kujiuliza jana kesi imefutwa ila inatakiwa tuendelee kufuata mambo madogomadogo ili tuelewe zaidi tusiiishe kwenye kusema Angesusa alichofanya FAM ni ukomavu wa Akili Mkubwa ndani ya SIASA.

Ni malize kwa kuuliza mlitaka Afanye Nini labda Nyie Waungwana?
Kajiangalia yeye binafsi acha aendelee kwa mchaga haishangazi Sacco's ataingalia kwa ukaribu Chadema ni Utopolo kama utopolo mwingine
 
Amani Itawale kwenu Nyote!

Jana nahisi ilikua moja ya siku atakazozikumbuka Mwamba FAM kwenye Maisha yake hasa juu ya kesi iliyokua inamkabili yeye na wenzake ambapo DPP jana Aliamua kuifuta kesi hio au aliamua kutokuendelea nayo.

Baada ya taarifa ile shangwe nyingi zilikuepo niseme hata Mimi hapa nilifurahi sanaaaa kupita kiasi.
Sasa watu wakiwa na Furaha Mara Taarifa na picha zikatoka na ni Official zikimuonyesha Mbowe akiwa na Rais wa JMT hapo kila kitu kikaanza kunenwa tofauti hata humu kunawengine wameapia CCM itawale Milele kisa tu Eti Mwamba FAM kaonyesha Uzwazwa sa NAJIULIZA Ule ni Uzwazwa kweli? Au watu hatuelewi SIASA?

Mbowe kila siku Mi nasema na niseme hapa He is A Pure POLITICIAN anaelewa misingi ya Siasa yote sio mpuuzi kwenda Ikulu ni ulize tu Mtu ulikua na Kesi ya Ugaidi inafutwa halaf GAIDI unaitwa Ikulu unakataa sa unakataa vipi, si unaenda ili watu wenye kujiuliza wajiulize na wapate majibu ni Kweli huyu alikua GAIDI yani GAIDI aitwe Ikulu? Hili ndio swali Mlitakiwa kujiuliza jana kesi imefutwa ila inatakiwa tuendelee kufuata mambo madogomadogo ili tuelewe zaidi tusiiishe kwenye kusema Angesusa alichofanya FAM ni ukomavu wa Akili Mkubwa ndani ya SIASA.

Ni malize kwa kuuliza mlitaka Afanye Nini labda Nyie Waungwana?

Walioshadadia na kuhoji hilo mbona ni ma mburumundu na binamu zao peke yao?

Mbowe kuachiliwa, pigo kubwa kwa wasiotutakia Mema kama Nchi

Walipo wanapumulia mashine.
 
Amani Itawale kwenu Nyote!

Jana nahisi ilikua moja ya siku atakazozikumbuka Mwamba FAM kwenye Maisha yake hasa juu ya kesi iliyokua inamkabili yeye na wenzake ambapo DPP jana Aliamua kuifuta kesi hio au aliamua kutokuendelea nayo.

Baada ya taarifa ile shangwe nyingi zilikuepo niseme hata Mimi hapa nilifurahi sanaaaa kupita kiasi.
Sasa watu wakiwa na Furaha Mara Taarifa na picha zikatoka na ni Official zikimuonyesha Mbowe akiwa na Rais wa JMT hapo kila kitu kikaanza kunenwa tofauti hata humu kunawengine wameapia CCM itawale Milele kisa tu Eti Mwamba FAM kaonyesha Uzwazwa sa NAJIULIZA Ule ni Uzwazwa kweli? Au watu hatuelewi SIASA?

Mbowe kila siku Mi nasema na niseme hapa He is A Pure POLITICIAN anaelewa misingi ya Siasa yote sio mpuuzi kwenda Ikulu ni ulize tu Mtu ulikua na Kesi ya Ugaidi inafutwa halaf GAIDI unaitwa Ikulu unakataa sa unakataa vipi, si unaenda ili watu wenye kujiuliza wajiulize na wapate majibu ni Kweli huyu alikua GAIDI yani GAIDI aitwe Ikulu? Hili ndio swali Mlitakiwa kujiuliza jana kesi imefutwa ila inatakiwa tuendelee kufuata mambo madogomadogo ili tuelewe zaidi tusiiishe kwenye kusema Angesusa alichofanya FAM ni ukomavu wa Akili Mkubwa ndani ya SIASA.

Ni malize kwa kuuliza mlitaka Afanye Nini labda Nyie Waungwana?
Vijana wengi wa CHADEMA wanadhani siasa ni kutanguliza "TUG OF WAR" katika kila jambo.....

#Siempre JMT🙏
 
Pangu pakavu tia mchuzi wewe niwale wanafiki wanao ishi kupitia migogoro wapenda vita
Mbowe alimshauri Rais mapema wakutane sasa amealikwa akatae!!
Anachopigania Mbowe ni Demokrasia kupitia Chama cha Chadema
Unaalikwaje straight kutoka jela?

Mbowe alipaswa baada ya kutoka jela akutane na wanachama waliosimama nae muda wote wakati kiteswa gerezani na kina samia. Awashukuru kwa kusimama nae.

Huko mbele kama angekutana na rais hakukua na shida.

Sasa wewe unaachiwa, watu waliosimama na wewe hawajasikia unasema nini moja kwa moja ikulu kucheka na aliekufunga, huo ni utaahira.

Ndio maana tunasema Tanzania haina wanasiasa, ina waganga njaa.
 
Alitakiwa akutane na wanachama kwanza. Au leo angetoa taarifa kwa umma nini aliongea na Rais, na nini msimamo wa chama.
Ukimya wake una maana alitolewa kwa masharti akapelekwa kulishwa maneno na mtesi wake.
Lissu arudi aongoze mapambano Mbowe kafika bei.
Mwenye akili kubwa asingekataa hiyo offer kubwa na ya ajabu, kwamba mtu aliyeitangazia dunia kwamba 'wewe ni gaidi, ulikimbia nje ya nchi kukwepa kukamatwa, na wenzako wameishafungwa jela', anakuita mkutane Ikulu! Ukikataa fursa hiyo wewe utakuwa mtu wa ajabu kuliko wote duniani!
 
Unaalikwaje straight kutoka jela?

Mbowe alipaswa baada ya kutoka jela akutane na wanachama waliosimama nae muda wote wakati kiteswa gerezani na kina samia. Awashukuru kwa kusimama nae.

Huko mbele kama angekutana na rais hakukua na shida.

Sasa wewe unaachiwa, watu waliosimama na wewe hawajasikia unasema nini moja kwa moja ikulu kucheka na aliekufunga, huo ni utaahira.

Ndio maana tunasema Tanzania haina wanasiasa, ina waganga njaa.
Katika maisha hakuna kitu muhimu kama 'timing'. Mbowe amepata ushindi mkubwa sana kupitia hiyo fursa, mengine yatabaki kuwa ni blah blah tu! Najua serikali imetumia fursa hiyo kupunguza fukuto kutoka kwenye public kutokana na Mbowe kuachiwa katika staili hiyo, lakini Mbowe ndiye kafaidika zaidi na fursa hiyo!
 
Mimi nataka nione Kama mwamba ataendeleza mapambano ya kudai katiba mpya kwa maandamano ya nchi nzima kama alivyoanza kipindi kile huku akitoa maneno ya kebehi kwa rais wa nchi?maana kwa mtazamo wangu inawezekana hii ndiyo ilikuwa sababu ya kuwekwa ndani, Kama ataufyata basi huu ni ushindi mkubwa kwa rais
 
Back
Top Bottom