Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisasi ni cha Mungu tuu. Leo waweza kudhani una tumia kichwa kufikiri, na kesho waweza kujikuta kumbe ulitumia makalio kufikiri na hata kutamka.Wewe akili huna.
Rais aliekufunga na kudhalilisha na kukufanyia kila baya halafu unaona kukutana nae ni nafasi adimu?
Unatumia kichwa kufikiri ama makalio?
Mimi nataka nione Kama mwamba ataendeleza mapambano ya kudai katiba mpya kwa maandamano ya nchi nzima kama alivyoanza kipindi kile huku akitoa maneno ya kebehi kwa rais wa nchi?maana kwa mtazamo wangu inawezekana hii ndiyo ilikuwa sababu ya kuwekwa ndani, Kama ataufyata basi huu ni ushindi mkubwa kwa rais
Wewe mungu umewahi kumuona akilipa kisasi?Kisasi ni cha Mungu tuu. Leo waweza kudhani una tumia kichwa kufikiri, na kesho waweza kujikuta kumbe ulitumia makalio kufikiri na hata kutamka.
Hatushindanishi matumizi ya akili za makalio wala za vichwa, bali tunajionyesha namna tu natumia akili vibaya.
Huo utu huo waupate wapi,kama waliweza waweka ndani mashehe wa uhamsho na wazee wa uhamsho bila ushahidi just kuwakomoa tu sababu Hakuna nguvu za kuwawajibisha kipi washindwe.Hata kama wana ushahidi ila kama kuifuta inaleta faida kwao kwanini wasiifute? si umeona wamefuta kesi na kumwita ikulu wamechukua points zao, labda wewe usiyejulikana na si mwanasiasa na hauna mtu wa kwenda kukuombea kwa rais ukikamatwa ndio hawawezi kukuachia hata kama hawana ushahidi.
Tulijua tangu mwanzo hamna kesi hapo.Huwezi kumkamata mtu ukitegemea ushahidi wa kubumba ni lzm uaibike.Naona kuna siku Samia atamshukia huyo mwehu aliyemuingiza chaka kuwa kuna watu walishafungwa jela kwa kesi hii ya mchongo hadi akajiabisha kwenye ile interview ya BBC.
Naamini Losers wa dunia hii wewe ndiyo kiongozi wao.Wewe mungu umewahi kumuona akilipa kisasi?
Loserd ndio wanamuachia kila kitu mungu ambae hata hivyo hayupo.
Well said✌Pangu pakavu tia mchuzi wewe niwale wanafiki wanao ishi kupitia migogoro wapenda vita
Mbowe alimshauri Rais mapema wakutane sasa amealikwa akatae!!
Anachopigania Mbowe ni Demokrasia kupitia Chama cha Chadema
Siasa sio Vita siasa✌Vijana wengi wa CHADEMA wanadhani siasa ni kutanguliza "TUG OF WAR" katika kila jambo.....
#Siempre JMT🙏
Na utaonekana ni Gaidi Kweli.Mwenye akili kubwa asingekataa hiyo offer kubwa na ya ajabu, kwamba mtu aliyeitangazia dunia kwamba 'wewe ni gaidi, ulikimbia nje ya nchi kukwepa kukamatwa, na wenzako wameishafungwa jela', anakuita mkutane Ikulu! Ukikataa fursa hiyo wewe utakuwa mtu wa ajabu kuliko wote duniani!
Mbaya zaidi wanaolalamika hawajawahi kukaa gerezani hata mwezi mmoja. Halfu akatae ili iweje? wakati mnapozungumza ndo mnaweza kuelewana.Hata huko Russia na Ukraine wanapigana ila wanataka wazungumze ili kufikia muafaka.Amani Itawale kwenu Nyote!
Jana nahisi ilikua moja ya siku atakazozikumbuka Mwamba FAM kwenye Maisha yake hasa juu ya kesi iliyokua inamkabili yeye na wenzake ambapo DPP jana Aliamua kuifuta kesi hio au aliamua kutokuendelea nayo.
Baada ya taarifa ile shangwe nyingi zilikuepo niseme hata Mimi hapa nilifurahi sanaaaa kupita kiasi.
Sasa watu wakiwa na Furaha Mara Taarifa na picha zikatoka na ni Official zikimuonyesha Mbowe akiwa na Rais wa JMT hapo kila kitu kikaanza kunenwa tofauti hata humu kunawengine wameapia CCM itawale Milele kisa tu Eti Mwamba FAM kaonyesha Uzwazwa sa NAJIULIZA Ule ni Uzwazwa kweli? Au watu hatuelewi SIASA?
Mbowe kila siku Mi nasema na niseme hapa He is A Pure POLITICIAN anaelewa misingi ya Siasa yote sio mpuuzi kwenda Ikulu ni ulize tu Mtu ulikua na Kesi ya Ugaidi inafutwa halaf GAIDI unaitwa Ikulu unakataa sa unakataa vipi, si unaenda ili watu wenye kujiuliza wajiulize na wapate majibu ni Kweli huyu alikua GAIDI yani GAIDI aitwe Ikulu? Hili ndio swali Mlitakiwa kujiuliza jana kesi imefutwa ila inatakiwa tuendelee kufuata mambo madogomadogo ili tuelewe zaidi tusiiishe kwenye kusema Angesusa alichofanya FAM ni ukomavu wa Akili Mkubwa ndani ya SIASA.
Ni malize kwa kuuliza mlitaka Afanye Nini labda Nyie Waungwana?
Hakuna alichofanya zaidi ya kubadili sura za viongozi kuwa weusi ila wenye kula nchi wakabaki makaburu na hao weusi wakawa makaburu weusi halafu watu weusi wenye maisha magumu wakiwashangilia makaburu weusi na kuwachezea ngoma
Kuna clip zake huko Twitter!!..Wengi wenu hapa mnabwabwaja tu lakini hata mahabusu tu hampafahamu. Miezi minane gerezani tena bila kosa unafikiri hata mentally unakuwa OK? Kuweni na ubinadamu bwana.
Baada ya kutulia na kupata counseling na huduma za afya ya ubongo, nategemea kuona kama huyu kamanda ataendelea na harakati zake za kudai katiba mpya kwa mbinu zile zile za shari na dharau...
Kwa maoni yangu apumzike uenyekiti na Lissu au Lema wampokee kijiti. Ameshafanya ya kutosha!
Wakati mwengine kukaa kimya ni busara zaidi!!...Unajua ametoka Mahabusu saa ngapi?!!..Akiwa Nyumbani kwakwe hukumuona Mwalimu?!!..Hukumuona Sugu?!!..Kuna clip zake zipo huko TwitterUnaalikwaje straight kutoka jela?
Mbowe alipaswa baada ya kutoka jela akutane na wanachama waliosimama nae muda wote wakati kiteswa gerezani na kina samia. Awashukuru kwa kusimama nae.
Huko mbele kama angekutana na rais hakukua na shida.
Sasa wewe unaachiwa, watu waliosimama na wewe hawajasikia unasema nini moja kwa moja ikulu kucheka na aliekufunga, huo ni utaahira.
Ndio maana tunasema Tanzania haina wanasiasa, ina waganga njaa.
Kwahiyo mheshimiwa Mbowe nae ana Ganga njaa?!!....Wewe umemjua Mbowe kwasababu ya case ya Mchongo?!!.. Wakati mwengine uwe Una uliza hata historia!!..JPM alizuia billions of Mbowe family money!!..Au hili nalo hukusikia na hujui?!!...Unaalikwaje straight kutoka jela?
Mbowe alipaswa baada ya kutoka jela akutane na wanachama waliosimama nae muda wote wakati kiteswa gerezani na kina samia. Awashukuru kwa kusimama nae.
Huko mbele kama angekutana na rais hakukua na shida.
Sasa wewe unaachiwa, watu waliosimama na wewe hawajasikia unasema nini moja kwa moja ikulu kucheka na aliekufunga, huo ni utaahira.
Ndio maana tunasema Tanzania haina wanasiasa, ina waganga njaa.
Tanzania ina vyama zaidi 10 vya upinzani, kwanini CDM mnateseka nayo kuliko vyama vingine?! Kama unaona Mbowe is not your choice opt kwingine. Hata ACT -wazalendo.Kajiangalia yeye binafsi acha aendelee kwa mchaga haishangazi Sacco's ataingalia kwa ukaribu Chadema ni Utopolo kama utopolo mwingine
Kwani hii ni mara yake ya kwanza kukaa Mahabusu?Tatizo amewahi mno kwenda ikulu ilibidi apimzike na kujipa muda kutafakari ndio aende. Kwa sasa bado ana wenge la magereza na akili bado haijakaa sawa.
Wanachama wa CDM hajalalamika hata kidogo, cha ajabu MATAGA na chawa wa CCM mmechachamaa na wakali kama pilipili. Nini kinauma namna hii? Huruma hii Kwa wanaCDM mnatoa wapi wakati furaha yenu ilikuwa ni kuona Tiganga akimfunga Mbowe kwa gharama yoyote ile?Unaalikwaje straight kutoka jela?
Mbowe alipaswa baada ya kutoka jela akutane na wanachama waliosimama nae muda wote wakati kiteswa gerezani na kina samia. Awashukuru kwa kusimama nae.
Huko mbele kama angekutana na rais hakukua na shida.
Sasa wewe unaachiwa, watu waliosimama na wewe hawajasikia unasema nini moja kwa moja ikulu kucheka na aliekufunga, huo ni utaahira.
Ndio maana tunasema Tanzania haina wanasiasa, ina waganga njaa.