Jubilani!Alitakiwa akutane na wanachama kwanza. Au leo angetoa taarifa kwa umma nini aliongea na Rais, na nini msimamo wa chama.
Ukimya wake una maana alitolewa kwa masharti akapelekwa kulishwa maneno na mtesi wake.
Lissu arudi aongoze mapambano Mbowe kafika bei.
Kwani hukusikia walichoongea!