Pre GE2025 Mnaolia leo katika Awamu ya Hayati Magufuli mlimsema sana kuwa anawapiga na kuwatesa na kumtetea wa sasa, ila naye leo kawageuka!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwanini sijaumia kwa Taarifa nilizosikia sababu ni kwamba hawa hawa wanaolia leo na kulalamika wakiwa Matibabuni Hoi ndiyo walikuwa wakimsema Hayati Magufuli na wa sasa alipoingia wakawa wanampamba kwa gharama za Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Magufuli.

Pia soma: Thread 'CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA' Kuelekea 2025 - CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Haya / Hayo yanayowapateni ndiyo Malipo na Unafiki wenu na Kutumika Kwenu kumchafua Hayati Magufuli. Mkome!!
 
Uzj wenye kuonesha uwezo Mdogo wakuchambua na kufasiri hoja mtambuka..
Ni heri ubaki kwenye nyuzi zako za KIMAAMUMA mambo ya simba na yanga..
Mambo mazito yenye kutoa kumastakabali wa nchi yetu temeana nayo, bado ubonfo wako hujapevuka kwa kushiriki kwenye hayo.

Watu wameumia na kuteseka funga bakuli lako kwa mambo yakuzidiayo upeo ASAP.
 
Hakika ndiyo maana tunasema Tanzania hatuna wapinzani ila tuna watoa taarifa. Sasa hivi hii itakuwa ajenda yao ya uchaguzi 2025. In short wapinzani hasa hili genge la mbowe hawana mtu wa strategy, yaani hawana mipango au mpango mkakati wa nini wafanye na wakati gani zaidi ya kudandia ajenda kulingana na CCM wanasema nini basi nao ndiyo safari inaanza
 
Walimshambulia Magufuli badala ya kushambulia CCM. Walichekelea pale walipomponda Magufuli wakaachwa huru, wakamwalika hata kwenye matamasha yao Tena wakaungana na mahasimu wa ccm waliokosana na Magufuli.
Kinachowapata Leo ni halali yao Wala siwaonei huruma kwani vitendo vyao badala ya kudumisha upinzani vimezidi kuudumaza.
Ealinyamazia Mambo kibao zikiwemo matozo kisa tu wamerambishwa asali.
 
Nawalaumu sana Jamaa zangu wa Yambe kwani walitakiwa wamalize kabisa Shughuli kwa hawa Wanafiki na Wapuuzi.
 
Kama unafurahia walichopata ni jinsi inaonesha unaakili finyu kwenye mambo mtambuka.
Punguza kushinda vijiweni hapo KAWE ubonfo wako unazidi kuharibika.
Safi sana kwa Kilichowapata na naomba hata huko waliko sasa Dawa zisipatikane kabisa ili Maturubai yaanze Kuazimwa.
 
Hakuna raisi ataekuja kukubarika haswa huku nchi za kiafrica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…