Nadhani tatizo sio pronunciation bali grammer of course na fluency hata kama itaathiriwa na mother tongue. Fikiria past, present, na future tenses zinampa mtu shida hapo hakuna lugha Mzee. Bila correct tenses huwezi eleweka asilani.Vipi kuhusu maprof wa Kihindi wanavyo ongea
Vipi wa Kinaijeria
Kweli Bongo nyoso tembea muone
Tunakubali yeye ni ku crunch numbers tu. Ila ngosha kile kimalkia lazima ucheke na ukijuwa mama ni prof basi ndio wapigwa butwaa kabisa!!!Mnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada
The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.
Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics) University of Dar Es Salaam from 1987–1991,
1993–1997 alienda University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.
Kwa hiyo kwa kifupi Prof major yake ni mambo ya hesabu. Hesabu ni lugha kama lugha zingine ila bahati mbaya haitumiki sana katika mazungumzo ya kawaida. Lugha ya hesabu inatumika kwenye mashine, komputya, simu, magari na robots.
Hichi chuo cha Alberta wanaendaga vipanga tu.
🤣🤣🤣🤣Na alidefend thesis yake mbele ya maprofesa huko Canada na walimuelewa kabisa na English yake ya ze comedy!
Kiingereza kina lahaja zaidi ya 160,na zote zinakubalika Uingereza na USA.Na alidefend thesis yake mbele ya maprofesa huko Canada na walimuelewa kabisa na English yake ya ze comedy!
Ya Ndalichako ni ipi kati ya hizo 160?Kiingereza kina lahaja zaidi ya 160,na zote zinakubalika Uingereza na USA.
Kiingereza kina lahaja 160,na zote zinakubalika Uingereza na USA.Ndani ya hizo nchi zenyewe,Uingereza na USA,hawaongei kiingereza aina moja.Wabongo mnachekesha, wengi wenu bado mnakasumba ya kizamani kwamba mtu kujua kiingereza ndio kuelimika, kwenu mtu akizungumza fluent english ndio "kichwa", hamjui wapo watoto kwenye hizo english academy wanaozungumza fluent english bado wanapata div. 3 na 4.
Hamjiulizi swali dogo tu; wazungu wote hufaulu mitihani yao ya kiingereza kwa kupata "A" kwasababu wanakijua kiingereza? au sisi waswahili hufaulu mitihani yetu ya kiswahili kila siku kwa kupata "A" kwasababu kiswahili ndio lugha yetu?
Knowledge haihusiani kabisa na kuijua lugha fulani, muache ushamba.
Mwalimu anakupa maksi kwa kuangalia knowledge yako kwenye kuelewa na kujibu swali, hata kama umeandika broken english; hakupi maksi kwa kuangalia kiingereza kizuri ulichoandika hata kama knowledge yako kwenye kujibu swali ni wrong.
Ndalichako kwangu ni Professa. Tatizo akili ndogo zinaongezeka kila siku za ku graduate kwa kukariri madesa vyuoni.
Kiingereza kina lahaja 160,na lahaja zote hizo zinakubalika Uingereza na USA.Ndani ya USA na UK,wanaongea lahaja tofauti tofauti.Vipi kuhusu maprof wa Kihindi wanavyo ongea
Vipi wa Kinaijeria
Kweli Bongo nyoso tembea muone
Ya kwake ni ipi kati ya hizo 160?Kiingereza kina lahaja 160,na zote zinakubalika Uingereza na USA.Ndani ya hizo nchi zenyewe,Uingereza na USA,hawaongei kiingereza aina moja.
Nadhani hoja ilikuwa kujua Kiingereza vilivyo. Hayo mengine hayakuwepo. Tunajua ni profesa ila inapokuja lugha anachapa Kihanglish na hii ndo ilosemwaMnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada
The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.
Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics) University of Dar Es Salaam from 1987–1991,
1993–1997 alienda University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.
Kwa hiyo kwa kifupi Prof major yake ni mambo ya hesabu. Hesabu ni lugha kama lugha zingine ila bahati mbaya haitumiki sana katika mazungumzo ya kawaida. Lugha ya hesabu inatumika kwenye mashine, komputya, simu, magari na robots.
Hichi chuo cha Alberta wanaendaga vipanga tu.
Ali desa huyooMnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada
The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.
Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics) University of Dar Es Salaam from 1987–1991,
1993–1997 alienda University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.
Kwa hiyo kwa kifupi Prof major yake ni mambo ya hesabu. Hesabu ni lugha kama lugha zingine ila bahati mbaya haitumiki sana katika mazungumzo ya kawaida. Lugha ya hesabu inatumika kwenye mashine, komputya, simu, magari na robots.
Hichi chuo cha Alberta wanaendaga vipanga tu.
Msukuma kanunua sujui kapewa. Hajaingia class kupambana kama wengineYuko sawa na Dr. Musukuma.
Na alidefend thesis yake mbele ya maprofesa huko Canada na walimuelewa kabisa na English yake ya ze comedy!
[emoji23][emoji23][emoji23] Chato international AirportYes kujenga Chato,sio dhambi ile?[emoji41]
Maskini huwa ni wakali Sana kuna mambo hawataki kukubaliYuko sawa na Dr. Musukuma.
Suala ni je Ndalichako alitetea vipi miswaada yake ya Msc na PhD?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] Chato international Airport
Kwelea kwelea na njiwa pori ndio wanatumia runway ya Chato landing/take off[emoji928]
Kiingereza kina lahaja zaidi ya 160,na zote zinakubalika Uingereza na USA.