Mnaombeza Prof. Ndalichako, amesoma PhD University of Alberta Canada

Vipi kuhusu maprof wa Kihindi wanavyo ongea
Vipi wa Kinaijeria
Kweli Bongo nyoso tembea muone
Nadhani tatizo sio pronunciation bali grammer of course na fluency hata kama itaathiriwa na mother tongue. Fikiria past, present, na future tenses zinampa mtu shida hapo hakuna lugha Mzee. Bila correct tenses huwezi eleweka asilani.
 
Mnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada

The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.

Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics) University of Dar Es Salaam from 1987–1991,

1993–1997 alienda University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.

Kwa hiyo kwa kifupi Prof major yake ni mambo ya hesabu. Hesabu ni lugha kama lugha zingine ila bahati mbaya haitumiki sana katika mazungumzo ya kawaida. Lugha ya hesabu inatumika kwenye mashine, komputya, simu, magari na robots.

Hichi chuo cha Alberta wanaendaga vipanga tu.
Tunakubali yeye ni ku crunch numbers tu. Ila ngosha kile kimalkia lazima ucheke na ukijuwa mama ni prof basi ndio wapigwa butwaa kabisa!!!
Anyway mie changu cha kubabaisha nisimcheke le prof kwa kuongea broken english kabisa!🤣😅😂
 
Wabongo mnachekesha, wengi wenu bado mnakasumba ya kizamani kwamba mtu kujua kiingereza ndio kuelimika, kwenu mtu akizungumza fluent english ndio "kichwa", hamjui wapo watoto kwenye hizo english academy wanaozungumza fluent english bado wanapata div. 3 na 4.

Hamjiulizi swali dogo tu; wazungu wote hufaulu mitihani yao ya kiingereza kwa kupata "A" kwasababu wanakijua kiingereza? au sisi waswahili hufaulu mitihani yetu ya kiswahili kila siku kwa kupata "A" kwasababu kiswahili ndio lugha yetu?

Knowledge haihusiani kabisa na kuijua lugha fulani, muache ushamba.

Mwalimu anakupa maksi kwa kuangalia knowledge yako kwenye kuelewa na kujibu swali, hata kama umeandika broken english; hakupi maksi kwa kuangalia kiingereza kizuri ulichoandika hata kama knowledge yako kwenye kujibu swali ni wrong.

Ndalichako kwangu ni Professa. Tatizo akili ndogo zinaongezeka kila siku za ku graduate kwa kukariri madesa vyuoni.
Kiingereza kina lahaja 160,na zote zinakubalika Uingereza na USA.Ndani ya hizo nchi zenyewe,Uingereza na USA,hawaongei kiingereza aina moja.
 
Mnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada

The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.

Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics) University of Dar Es Salaam from 1987–1991,

1993–1997 alienda University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.

Kwa hiyo kwa kifupi Prof major yake ni mambo ya hesabu. Hesabu ni lugha kama lugha zingine ila bahati mbaya haitumiki sana katika mazungumzo ya kawaida. Lugha ya hesabu inatumika kwenye mashine, komputya, simu, magari na robots.

Hichi chuo cha Alberta wanaendaga vipanga tu.
Nadhani hoja ilikuwa kujua Kiingereza vilivyo. Hayo mengine hayakuwepo. Tunajua ni profesa ila inapokuja lugha anachapa Kihanglish na hii ndo ilosemwa
 
Mnaombeza Prof Ndalichako amesoma PhD University of Alberta Canada

The University of Alberta, kilianzishwa 1908 ni chuo cha 135 duniani kwa ubora.

Prof ana bachelor ya Hesabu (Methamatics) University of Dar Es Salaam from 1987–1991,

1993–1997 alienda University of Alberta, Edmonton, Alberta, Canada, where she obtained a PhD in educational psychology, major in educational statistics & measurement and evaluation.

Kwa hiyo kwa kifupi Prof major yake ni mambo ya hesabu. Hesabu ni lugha kama lugha zingine ila bahati mbaya haitumiki sana katika mazungumzo ya kawaida. Lugha ya hesabu inatumika kwenye mashine, komputya, simu, magari na robots.

Hichi chuo cha Alberta wanaendaga vipanga tu.
Ali desa huyoo
 
Na alidefend thesis yake mbele ya maprofesa huko Canada na walimuelewa kabisa na English yake ya ze comedy!

Uzuri wa maprof wa Kizungu hawapendi kufelisha watu kama Maprof wa Kiswahili, Maprof wa Kizungu are friendly na wanaangalia UMEELEWA points.

Na uzuri wa hesabu ni Language in itself, unaweza kufuatilia mtiririko wa hesabu (formulations and derivations ) kutoka kwa mtu yeyote bila ya yeye kusema chochote na ukaelewa lugha ya hesabu alizotiririka, hizo ndizo hesabu.

Tumsamehe dada yangu.
 
Kuongezea alisoma vipaji maalumu Tabora girls.
Huyu aligomea div.5 kuanzishwa enzi za Msogagang, wanakinyongo naye, wanataka kuweka mtu wao.

Muondoeni tu,maana ndo mmeshika mpini.
 
Back
Top Bottom