Mnaompinga Rais Samia mfafanue kwa ushahidi mambo gani hajayatekeleza hadi sasa tangu alipochukua madaraka, vinginevyo mumpe sifa anazostahili

takwimu haziongopi kwani yale aliyoahidi kwenye Ilani ya Uchagizi kayafanya kikamilifu. Ni vema mkaja na ushahidi vinginevyo mkae kimya au mumpe sifa anazopaswa kuwa nazo Rais wetu DK Samia Suluhu Hassan
Ni tapeli,uchochoro, fisadi na kilaza. Haelewi anaongoza nini
 
Umekimbia kujibu hoja waja na mabango yasiyo na uhusiano na mada husika
Screenshot_20250812-215818~2.png
 
takwimu haziongopi kwani yale aliyoahidi kwenye Ilani ya Uchagizi kayafanya kikamilifu. Ni vema mkaja na ushahidi vinginevyo mkae kimya au mumpe sifa anazopaswa kuwa nazo Rais wetu DK Samia Suluhu Hassan
Unahukumiwa kwa unayofanya na usiyofanya. Ukitakatisha hela utahukumiwa.
 
Kwangu issue siyo utekelezaji, kilichonivunja moyo ni uteuzi wake ulivyokuwa wa magumashi na mizengwe mizengwe.
 
takwimu haziongopi kwani yale aliyoahidi kwenye Ilani ya Uchagizi kayafanya kikamilifu. Ni vema mkaja na ushahidi vinginevyo mkae kimya au mumpe sifa anazopaswa kuwa nazo Rais wetu DK Samia Suluhu Hassan
Ameshindwa kuzuia wizi wa mali za umma, wizi wa kura, ufisadi, utekaji, ufir*ji, mauaji, ubambikaji kesi za uongo, nk... dhidi ya Watanganyika
 
takwimu haziongopi kwani yale aliyoahidi kwenye Ilani ya Uchagizi kayafanya kikamilifu. Ni vema mkaja na ushahidi vinginevyo mkae kimya au mumpe sifa anazopaswa kuwa nazo Rais wetu DK Samia Suluhu Hassan
Aliyeandika huu uzi apuuzwe; alitoroka mirembe jana.
 
takwimu haziongopi kwani yale aliyoahidi kwenye Ilani ya Uchagizi kayafanya kikamilifu. Ni vema mkaja na ushahidi vinginevyo mkae kimya au mumpe sifa anazopaswa kuwa nazo Rais wetu DK Samia Suluhu Hassan
Sikiliza hotuba ya Kuhaga Mpina aliyoitoa kwa waandishi wa habari jana.Jibu la swali lako linajibiwa kikamilifu.
 
Back
Top Bottom