Mnaomsema vibaya Hayati Magufuli kuweni na akiba ya maneno, kuna kesho

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Habari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii mtakimbilia wapi?
 
Unamaana gani mhe. Mshana
Zama za mwenda zake nimepita na yote mazuri na mabaya.. Hizo ni kurasa za nyakati hizo.. Watakaokuja watakuja na mengine mazuri na mabaya! Hizo nazo ni kurasa nyingine
Kila zama zina maadui na marafiki kikubwa maadui wasifanane wala marafiki
 
Daaaah
FB_IMG_16651649252130760.jpg
 
Point nmekuelewa Sana mkuu
 
Habari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii mtakimbilia wapi?
Weye sasa umeishiwa fikra.Akisemwa baba yao ndiyo wakae watafakari.Alikosea wapi ili warekebishe mambo?Wakija na visasi watakuta dunia inawabinukia "kavu-jenzi"!
 
Chuma Kwa sisi tunaopenda kuona viongozi wanajamba cheche katka ziara zake tulikuwa tunaenjoy sana alitufurahisha Kwa hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanaomsema ndiyo waliongoza kujamba cheche hahahaaaa amesha pumzika zake Kwa amani
 
Back
Top Bottom