Mnaomsema vibaya Hayati Magufuli kuweni na akiba ya maneno, kuna kesho

Habari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii mtakimbilia wapi?
Tutapigana nao hata vita ya kujilipua na mabomu! kama ndivyo uanvyofikiria, basi umekwisha na wao wamekwisha
 
Baba wa watu alijitahidi kuikomboa Tz kiuchumi, kuitoa katika mikono ya mafisadi, sasa hao "VIPOFU" wanaomsema vibaya hawaoni haya???
 
Habari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii mtakimbilia wapi?
Kwa hiyo hao watoto wanakuja kumlipizia kisasi mzazi wao?
 
Magufuli ni kama MAJI usipo yanywa, utayaoga, usipoyaoga, utafulia nguo. Huyu mwamba hawezi sahaulika iwe kwa mabaya au mazuri!
 
Alivuruga kabisa mfumo wa chaguzi zetu na kuleta udanganyifu
 
Watu wasiseme kwa kuogopa mwanaye yule bonge aliyekuwa anatembea na begi la hela atakuwa rais, yaani bado mnawaza kumaliza watu.

Sema tu kwa heshima ya mama jenet ,
 
Wanaomsema vibaya magufuli ni wale tu wenye ugonjwa wa afya ya akili.Maana amefanya mazuri mengi haijawahi kutokea ndani ya muda mfupi.kwa mwenye afya ya akili hawezi kumsema vibaya mzalendo wetu.
 
Habari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii mtakimbilia wapi?
CCM NDIO WANAOMSEMA VIBAYA WALIZOEA WIZI, NA UFISADI NA WALIKOMESHWA
 
Habari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii mtakimbilia wapi?
Mwambe Gele
 
waache waseme kwakua jpm alikua na mazuri yake na mabaya yake kama binadamu lazima tushike yale mabaya na tusagie kunguni hapo hapo
 
Kama alijisema vibaya yeye mwenyewe, kwa nini asisemwe vibaya?👇🐒🐒🐒
16409521842520.jpg
 
Mazuri yote hufutwa na mabaya machache/mengi. Kama alishiriki ktk mabaya huyo hakuwa kiongozi aliyetufaa
 
Back
Top Bottom