Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Kila zama na kurasa zakeHabari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii mtakimbilia wapi?
Unamaana gani mhe. MshanaKila zama na kurasa zake
Zama za mwenda zake nimepita na yote mazuri na mabaya.. Hizo ni kurasa za nyakati hizo.. Watakaokuja watakuja na mengine mazuri na mabaya! Hizo nazo ni kurasa nyingineUnamaana gani mhe. Mshana
Mkuu acha kuotaHabari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii mtakimbilia wapi?
Zama za mwenda zake nimepita na yote mazuri na mabaya.. Hizo ni kurasa za nyakati hizo.. Watakaokuja watakuja na mengine mazuri na mabaya! Hizo nazo ni kurasa nyingine
Kila zama zina maadui na marafiki kikubwa maadui wasifanane wala marafiki
Point nmekuelewa Sana mkuuZama za mwenda zake nimepita na yote mazuri na mabaya.. Hizo ni kurasa za nyakati hizo.. Watakaokuja watakuja na mengine mazuri na mabaya! Hizo nazo ni kurasa nyingine
Kila zama zina maadui na marafiki kikubwa maadui wasifanane wala marafiki
Asum ndo baba yako ndo anatukanwa unalibebajeSasa watoto wa magu wakipata nyadhifa ndo anakuwa magufuli? Kwani familia yake ndo inasemwa ama yeye mwenyewe na matendo yake
Mkuu wa wilaya ya HaiWatoto wake watatufanya nini labda kwa mfano?
Asingeweza kufurahisha wote wala kuwachukiza wote asa apo unataka kusema Magu ndo kiongozi wa kwanza kukosolewa? Asikosolewe alikuwa malaika yule?Asum ndo baba yako ndo anatukanwa unalibebaje
Weye sasa umeishiwa fikra.Akisemwa baba yao ndiyo wakae watafakari.Alikosea wapi ili warekebishe mambo?Wakija na visasi watakuta dunia inawabinukia "kavu-jenzi"!Habari za muda huu wanajf naomba kuwashauri baadhi ya watu ambao wamejikita kumuhukumu Hayati Dkt. Magufuli mkumbuke Marehemu anawatoto ambao kwa neema ya Mungu wanawepata nyadhifa kubwa nchi hii mtakimbilia wapi?
Ukishakuwa kiongozi wa jamii huru halafu ukategemea usifiwe tu basi tambua weye ni kichaa.Asum ndo baba yako ndo anatukanwa unalibebaje
Nitatulia ili nijue nini ilikuwa mbaya na yeye!Asum ndo baba yako ndo anatukanwa unalibebaje
Damu ya mtu hunuka@benAsum ndo baba yako ndo anatukanwa unalibebaje
Ningejiuliza kwanza kwanini anatukanwa.Asum ndo baba yako ndo anatukanwa unalibebaje
Huwezi kumfurahisha kila m2 kusema nikawaidaNingejiuliza kwanza kwanini anatukanwa.