Na sijui unatumia kiungo gan kuandikaNa nitapokea nyingi tu nikiwa Hai hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sijui unatumia kiungo gan kuandikaNa nitapokea nyingi tu nikiwa Hai hivi.
Wakifunga hii njoo na ile nyingineHongera yako Moderators wamekusikia. Hata Mimi ananikera sana tu.
Umeshapata maji ya mochware?Ally Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) Siku ambapo Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC Goli 3 kwa 0 ( tena akiwa Clouds FM Kipindi cha Sports Extra ) Studioni akiwepo Mtangazaji mwana Yanga SC Prisca Kishamba na Mchambuzi mwana Simba SC Master Tindwa alitudhihaki wana Simba SC kuwa Tumebikiriwa na Mwarabu kwa Mkapa huku akisema kuwa Yanga SC ndiyo Wanamume wa Soka na Wengine ni Wamama tu.
Mbona GENTAMYCINE sikuwasikieni Wapumbavu na Wanafiki kutoka Jangwani mkiikemea hiyo Kauli ya Msemaji wenu Mrembuaji wa Macho, Mlamba Mdomo na mbana Pua Ali Kamwe?
Kuna Mechi Mbili za Simba na Yanga zilizopita ( ambazo zote Simba SC ) ilifungwa na Yanga SC Mashabiki wa Yanga SC walionekana wakiwa Wamebeba mfano wa Jeneza lililopambwa na Bendera ya Simba SC wakimaanisha Simba SC ndiyo Maiti na anaenda Kuzikwa. Mbona Wapumbavu na Wanafiki kutoka Jangwani hamkujitokeza Kulikemea hili?
Naungana na Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ( tena kwa 100% ) kwa kusema kuwa Simba SC Kesho Jumapili tarehe 16, April 2023 inaenda Kumkafini Mtu ( akimaanisha Yanga SC ) na kwamba Yanga SC ni sawa na Maiti ambayo Kesho inaenda Kuoshwa kabla ya Kuzikwa / Mazishi.
Kwa Taarifa yenu tu Watoto ( Vijana ) wa Siku hizi na Ushamba wenu Uliowatukuka ni kwamba Utani baina ya Vilabu vya Simba na Yanga ni wa Kawaida na wa muda mrefu tena kwa Sisi Wakongwe ( akina GENTAMYCINE ) tunaona miaka ya Siku hizi hakuna Utani na Umepungua mno.
Na kama Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ataadhibiwa kwa Kauli hii nitathibitisha Utaahaira na Upumbavu wa hao Watakaomudhibu na Nitawadharau hakuna mfano.
Alichokifanya Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ( ambaye upande mwingine ni Chief Propagandist wa Klabu ) na hata Kitasnia inaruhusiwa ni Kunogesha Tukio, Kuamsha Hisia, Kuchangamsha na inasaidia pia Kuhamasisha Watu kujaa ( kwenda ) Uwanjani hivyo GENTAMYCINE kama Mbobezi Tukuka wa Mass Communication ( nikiwa Mngwena hasa katika Print na PR ) nampongeza sana na mno Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kwa hiyo Kauli yake.
Na tena anastahili hadi Tuzo kama ambayo GENTAMYCINE nilipata hapa JamiiForums kwa kuwa Mshindi Bora ( wa Jumla ) wa Jukwaa hili la Michezo ( Sports ) kwa mwaka 2022 nikiwashinda waliodhani ni Magwiji Kiuchambuzi na kuleta Habari za Michezo hapa JamiiForums ( akina Greatest Of All Time akisaidiwa na Chama Baleke zamani OKW BOBAN SUNZU ) wakatia Tukuka Mwenyewe nipo.
Ushindi Wenu Yanga SC Kesho Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Simba SC ni Suluhu ( 0 - 0 ) au Sare ( ya Magoli ) ila Kufungwa na Simba SC Kesho ni lazima kwa 99.999999%.
Imeisha hiyo..!!
Hyo BANNED Ina maana gan wazee? Yaan umeandkiwa hyo haraf bado unaendelea kutoa machapisho tu!! Maana najua ingekuzuia usiweke kituAlly Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) Siku ambapo Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC Goli 3 kwa 0 ( tena akiwa Clouds FM Kipindi cha Sports Extra ) Studioni akiwepo Mtangazaji mwana Yanga SC Prisca Kishamba na Mchambuzi mwana Simba SC Master Tindwa alitudhihaki wana Simba SC kuwa Tumebikiriwa na Mwarabu kwa Mkapa huku akisema kuwa Yanga SC ndiyo Wanamume wa Soka na Wengine ni Wamama tu.
Mbona GENTAMYCINE sikuwasikieni Wapumbavu na Wanafiki kutoka Jangwani mkiikemea hiyo Kauli ya Msemaji wenu Mrembuaji wa Macho, Mlamba Mdomo na mbana Pua Ali Kamwe?
Kuna Mechi Mbili za Simba na Yanga zilizopita ( ambazo zote Simba SC ) ilifungwa na Yanga SC Mashabiki wa Yanga SC walionekana wakiwa Wamebeba mfano wa Jeneza lililopambwa na Bendera ya Simba SC wakimaanisha Simba SC ndiyo Maiti na anaenda Kuzikwa. Mbona Wapumbavu na Wanafiki kutoka Jangwani hamkujitokeza Kulikemea hili?
Naungana na Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ( tena kwa 100% ) kwa kusema kuwa Simba SC Kesho Jumapili tarehe 16, April 2023 inaenda Kumkafini Mtu ( akimaanisha Yanga SC ) na kwamba Yanga SC ni sawa na Maiti ambayo Kesho inaenda Kuoshwa kabla ya Kuzikwa / Mazishi.
Kwa Taarifa yenu tu Watoto ( Vijana ) wa Siku hizi na Ushamba wenu Uliowatukuka ni kwamba Utani baina ya Vilabu vya Simba na Yanga ni wa Kawaida na wa muda mrefu tena kwa Sisi Wakongwe ( akina GENTAMYCINE ) tunaona miaka ya Siku hizi hakuna Utani na Umepungua mno.
Na kama Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ataadhibiwa kwa Kauli hii nitathibitisha Utaahaira na Upumbavu wa hao Watakaomudhibu na Nitawadharau hakuna mfano.
Alichokifanya Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ( ambaye upande mwingine ni Chief Propagandist wa Klabu ) na hata Kitasnia inaruhusiwa ni Kunogesha Tukio, Kuamsha Hisia, Kuchangamsha na inasaidia pia Kuhamasisha Watu kujaa ( kwenda ) Uwanjani hivyo GENTAMYCINE kama Mbobezi Tukuka wa Mass Communication ( nikiwa Mngwena hasa katika Print na PR ) nampongeza sana na mno Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kwa hiyo Kauli yake.
Na tena anastahili hadi Tuzo kama ambayo GENTAMYCINE nilipata hapa JamiiForums kwa kuwa Mshindi Bora ( wa Jumla ) wa Jukwaa hili la Michezo ( Sports ) kwa mwaka 2022 nikiwashinda waliodhani ni Magwiji Kiuchambuzi na kuleta Habari za Michezo hapa JamiiForums ( akina Greatest Of All Time akisaidiwa na Chama Baleke zamani OKW BOBAN SUNZU ) wakatia Tukuka Mwenyewe nipo.
Ushindi Wenu Yanga SC Kesho Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Simba SC ni Suluhu ( 0 - 0 ) au Sare ( ya Magoli ) ila Kufungwa na Simba SC Kesho ni lazima kwa 99.999999%.
Imeisha hiyo..!!
[emoji23][emoji23]wewe binti una vitukoHongera yako Moderators wamekusikia. Hata Mimi ananikera sana tu.
Tatizo we POPOMA una ID nyingi mnoHongera yako Moderators wamekusikia. Hata Mimi ananikera sana tu.
Sijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi kujua.Tatizo we POPOMA una ID nyingi mno
POPOMA embu tulia basiSijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi kujua.
Sijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi Mizuzu ( Mijha ) iliyokubuhu / tuliyokubuhu hapa kujua.POPOMA embu tulia basi
Wee shabiki wa Yanga lia lia, uko kimyaaaaa km hujaona utopolo imefungwaa, ila angeshinda Yanga ungeona na chambuzi zako za mchongo, kujifanyaa shabiki wa mpiraaa na sio team.Timu zote 2 hazina Wasemaji zina wahamasishaji.
Na tushafanyiaa kazi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeshapata maji ya mochware?
Na tushafanyiaa kazi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja na hii ID waipige banSijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi Mizuzu ( Mijha ) iliyokubuhu / tuliyokubuhu hapa kujua.
"Simba haitufungi Abadan"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanza niseme hivi simba haitufungi abadan,lakini siungi mkono kwa msemaji wa simba kuadhibiwa,anaadhibiwa kwa kosa gani?hizi timu ni watani wa jadi,kwani hamjui maana ya utani wa jadi?
kama tunataka staha kwenye utani wa jadi basi tff watengeneze code of conduct ili kuwaongoza wasemaji,vinginevyo tuache utani utawale,tutaniane na atakayeshinda basi ndio mpira
ha ha that is footbal pal"Simba haitufungi Abadan"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshahara wako utaongezeka na Umasikini wako mkubwa utapungua?Ngoja na hii ID waipige ban
We POPOMA tuMshahara wako utaongezeka na Umasikini wako mkubwa utapungua?