Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu?
J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?
Familia ya Magufuli imesikitika kumpoteza mpendwa wao bora wao wanaona hata kaburi je familia ya Ben na Azory hazihitaji kujua majaliwa ya baba zao?