Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

KWA mazuri upongezwa na kwa mabaya ushutumiwa so we unataka upande upi
 
Inasaidia.Mnapata mateso ya kisaikolojia.Ni wakati wa kuwatesa huu.
We kichaa kumbe! Baadala ya ufikirie kumuanda mumeo akakitafuyie ugali unanza kuwaza eti unamtesa kisaikolojia mtu usiemjua?

[emoji23][emoji23][emoji23]Machadema mna laana?
 
Ungeanza kwanza kudai haya..

1. Aliemsambaratisha mwangosi kwa bomu pale nyororo iringa
2. Alietupa bomu na kuua watu zaidi 5 kwenye mkutano wa chadema pale soweto arusha
3. Alimtesa ulimboka
4. Jambazi wakiomuua dr mvungi

Ni hayo tu kwa uchache, na ungedai kabla ya kurukia ya Magufuli.

Kwanza hao uliowataja ni kina nani kila siku mnalia lia humu,? Kama ni kuuawa wao ndio wa kwanza?
Usiue hoja kwa kurukia ujahili mwingine.Tunaanza na mmojammoja.Tutafika huko.Hadi kwa aliyeamuru watu wapigwe risasi hadi kuwa wakimbizi Mombasa.Tulia.Mmojammoja.
 
Inasaidia.Mnapata mateso ya kisaikolojia.Ni wakati wa kuwatesa huu.
Mateso gani ?mimi sio mshabiki wa siasa na tokea nizaliwe sijawahi na sina mpango wa kupiga kurawala kusapoti chama chochote wala sina ushabiki na mwanasiasa yeyote kwani ushabiki mtu unakufanya kusapoti kila kitu hata kikiwa kinyume na haki na ukweli.

Mimi napinga dhuluma na napenda haki iwepo ndio maana hata Magu kuna baadhi ya vitu nilikuwa ninapinga ila kwa sasa hana mamlaka na amefariki hivyo habari yake tayari imekwisha.
 
We kichaa kumbe! Baadala ya ufikirie kumuanda mumeo akakitafuyie ugali unanza kuwaza eti unamtesa kisaikolojia mtu usiemjua?

[emoji23][emoji23][emoji23]Machadema mna laana?
Kwa hiyo ukisoma alichoandika mtu tu unajua ni kichaa au mumeo?Psychological tortures mzipatazo mnakoma nazo.Kumuumiza mtu siyo lazima umuone wala kumfahamu.Aliyeleta tozo anakufahamu?Mbona unalialia?
 
Mateso gani ?mimi sio mshabiki wa siasa na tokea nizaliwe sijawahi na sina mpango wa kupiga kurawala kusapoti chama chochote wala sina ushabiki na mwanasiasa yeyote kwani ushabiki mtu unakufanya kusapoti kila kitu hata kikiwa kinyume na haki na ukweli.

Mimi napinga dhuluma na napenda haki iwepo ndio maana hata Magu kuna baadhi ya vitu nilikuwa ninapinga ila kwa sasa hana mamlaka na amefariki hivyo habari yake tayari imekwisha.
Siyo shabiki wa siasa?Ila unaiishi siasa.Penda kataa.
 
Hapa ndo huwa mnajiona wajanja. Mmeshindwa kuiua legacy mmebaki kulalamika tu
 
Back
Top Bottom