Unajua makaburi yao yalipo? La mpendwa wenu lipo chato.No one is perfect na kama ukigundua hilo inakua juu yako kuchagua upande either wa mazuri au wa mabaya so wanaompenda usiwajudge eti kwasababu wanakipenda unachokichukia that iz all aboout life
Tunaanza na mmojammoja.Unatangulia mbele mnoo.Bado na ya Mwembechai,na wakimbizi wa Mombasa.Tulia.Moja moja!Aliyemuua mwangosi ni nani,shambulio la ulimboka jee?
Huyo "maliyemu" lazima asimangwe hadi afurukute shimoni.Mbona kila siku mnateseka na Magufuli wakati katika awamu ya Nne mwandishi alipigwa risasi hadharani alitetkwa na kuteseswa Dokta Ulimboka nk lakini Magu lakini wengine wanaineka wasafi kabisa na hawakuandamwa kama Magu ?
Hapo ni Sawa na kutwanga maji kwenye kinu haitosaidia lolote.Huyo "maliyemu" lazima asimangwe hadi afurukute shimoni.
Inasaidia.Mnapata mateso ya kisaikolojia.Ni wakati wa kuwatesa huu.Hapo ni Sawa na kutwanga maji kwenye kinu haitosaidia lolote.
Wanawake bhanaHata magufuli aliandamwa na mzimu wa Ben sanane mpaka akafa.
Alisema achunguzwe kuhusu nini?Lisu alisema hata Mbowe achunguzwe
Kila ukiona maandishi unajua mama yako kaandika?Stupid!Wanawake bhana