Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

KWA mazuri upongezwa na kwa mabaya ushutumiwa so we unataka upande upi
 
Inasaidia.Mnapata mateso ya kisaikolojia.Ni wakati wa kuwatesa huu.
We kichaa kumbe! Baadala ya ufikirie kumuanda mumeo akakitafuyie ugali unanza kuwaza eti unamtesa kisaikolojia mtu usiemjua?

[emoji23][emoji23][emoji23]Machadema mna laana?
 
Usiue hoja kwa kurukia ujahili mwingine.Tunaanza na mmojammoja.Tutafika huko.Hadi kwa aliyeamuru watu wapigwe risasi hadi kuwa wakimbizi Mombasa.Tulia.Mmojammoja.
 
Inasaidia.Mnapata mateso ya kisaikolojia.Ni wakati wa kuwatesa huu.
Mateso gani ?mimi sio mshabiki wa siasa na tokea nizaliwe sijawahi na sina mpango wa kupiga kurawala kusapoti chama chochote wala sina ushabiki na mwanasiasa yeyote kwani ushabiki mtu unakufanya kusapoti kila kitu hata kikiwa kinyume na haki na ukweli.

Mimi napinga dhuluma na napenda haki iwepo ndio maana hata Magu kuna baadhi ya vitu nilikuwa ninapinga ila kwa sasa hana mamlaka na amefariki hivyo habari yake tayari imekwisha.
 
We kichaa kumbe! Baadala ya ufikirie kumuanda mumeo akakitafuyie ugali unanza kuwaza eti unamtesa kisaikolojia mtu usiemjua?

[emoji23][emoji23][emoji23]Machadema mna laana?
Kwa hiyo ukisoma alichoandika mtu tu unajua ni kichaa au mumeo?Psychological tortures mzipatazo mnakoma nazo.Kumuumiza mtu siyo lazima umuone wala kumfahamu.Aliyeleta tozo anakufahamu?Mbona unalialia?
 
Siyo shabiki wa siasa?Ila unaiishi siasa.Penda kataa.
 
Nadhani ungeanza na ya nyuma kwanza?

Vinginevyo tutakuona una hasira na Magu kwa vile alikubutua akakuachia kovu bila malipo
Hatupangiani la kuanza au kuishia.Mjomba wenu "maliyemu" alikuwa jingajinga.
 
Hapa ndo huwa mnajiona wajanja. Mmeshindwa kuiua legacy mmebaki kulalamika tu
 
Mada nyingine za kipunbavu kama hizi. Mtu mzima una familia yako na usishangae nyumbani wanamtegemea kama mzazi analala anaamka na mada za kisengerema kama hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…