Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Yah! Ni kweli kabisa unachosema ni msanii mkali! Sema me sio shabiki wa mziki wake na kwa kusema hivi sio kwamba hajui nop! Ila moja ya vitu vingine tofauti alichonacho me napenda mwonekano wake tu...
mtoto mkali sana yule tusiende mbali wala karibu yuko vizuri sana aisee
 
Tuko pamoja nami sijawahi kumuelewa Jide japo naheshimu juhudi zake...Hapa ndio utajua nguvu ya media ktk promo!!!Kwa kupitia mgongo wa G-Habash ndio nadhani Jide alipata umaarufu hasa kile kipindi cha 20 bora...Kila wiki nyimbo yake ilikuwa lazima iwe namba moja hata iwe mbaya ila mnazoeshwa nyimbo zake mpaka mnaziona afadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…