Lady jay dee ni yesterday story, Hayupo relevant kiasi kikubwa kwa kizazi cha sasa ambacho kinafuatilia muziki kwa sasa. Pia anaandika nyimbo zake ilhali industry ishabadilika. Ila bado tunamuheshimu maana yupo anapush mziki wake kwa zaidi ya miaka 20 kitu ambacho wachache wanaweza
Kingine mkuu, WCB ni WCB tu. Utaongelea media WAPO, social media WAMEITAWALA, Showbiz WAMEITAWALA, record label yao imekuwa kama gate way ya East Africa kimuziki. Hivyo WCB ipo kila sehemu kiasi kwamba huwezi kuipuuzia in any way na yoyote anaejiweka karibu yao ni lazma awe BRAND KUBWA
Sasa imagine power kama hiyo iwe invested kwa msanii mmoja !!!!..
Huwezi kupuuza kuwa mafanikio ya ZUCHU NI MAFANIKIO YA WCB, SIO MAFANIKIO YAKE BINAFSI. Watu wanaiona WCB kabla ya kumuona Zuchu kitu anachotakiwa kupambana nacho ili apate mafanikio halisi mkuu