Msanii ndio kwanza ana miezi 7 unataka ndani ya miezi hiyo hiyo apate endorsement duuuuu.......? Yaani ukimchukia mtuu unachukia tu ili mradiiii.....🤣🤣
Hata huyo Diamond na ukubwa wake hajawahi kupata endorsement ndani ya miezi hiyo,ila kupitia Number hizi za digital platform zinakupa picha halisi kwa kinachokuja mbele ndio maana siku zote Number hazi danganyi,zaidi ya hapo UTAKUWA UNAONGEA HISIA ZAKO BINAFSI.
Pona yake nini wewe vipi MBONA UNA HAMISHA MAGOLI au ULITAKA DIAMOND ADONDOKE,ukijariwa kitu fulani lazima ukitumie kwa faida yako,WEWE ULITAKA HASIKITUMIE?
Ninachojua hata maji yawe ya moto vipi yata urudia ubaridi wake ipo hivyo,ila kwa Diamond bado tena bado sana UTAENDELEA KUSUBIRI sana,hamna msanii anayejua timing ya mziki huu wa Bongo kama Diamond na ndio yy ndiye kioo cha mziki huu.