Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Sasa wewe ndio umeanza kunipa mwanga....naanza kuelewa ule mziki wa zuchu unaenda kwenye taarabu kabisa aisee. Nadhani tusimlaumu toka kazaliwa kakuta mamaake anaimba huo mziki sasa nadhan hata kumbadili WCB wameshindwa wameamua wakazie mulemule mahadhi ya pwani
Alitakiwa atambue hilo. Anapenda taarab zaidi aende huko.
 
Wanao mwelewa Boomplay wanazidi kumweka juu,Number zina ongea.
119820899_192370639176867_2221769476444744477_n.jpg

119131716_2843475665752845_7827528939226131497_n.jpg
118473945_650646492519480_8178443286330637342_n.jpg
118144229_1144623482584473_8452963802657239319_n.jpg
 
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na tumkubali hivyo hivyo. Naamini hata waliompokea kwa nguvu zote wanakua dissapointed sasa maana ngoma mpya na Mondi nikajua ndo wamemaliza kumbe ndo wanakazia mulemule alimopitia kwenye nyimbo za mwanzo ambazo hata hujui ipi ni ipi zote mulemule na makelele mengi.

Nilianza kupata imani kwenue ngoma ya Karantini ambayo alifanya vizuri japo aliefunika mule ni Queen Darleen na ile verse 'Karantini yangu mi na machizi ni kuparty na usingizi.

Ila tuache utani WCB kama pamoja na kumpika zuchu na tena kumpa collabo na mondi ndio mmetoa project mbovu hivi naanza kuamini sasa hampo serious aisee, nyie hatujawazoea kulipualipua kazi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Brother umejitolea kumtetea 😁

Ila Kuna tofauti ya Fans mkuu

JIDE = JIDE

VEE = VEE

ZUCHU = WCB

Kubali tu bila promo asingefikia hiyo level aliyonayo ila anatakiwa kukaza tu ili atengeneze fan base yake mwenyewe. Hata Harmo angepotea kama asingefanya hardwork na pia kupata back up ya watu wakubwa
Nina mtetea au Number ndizo zina mtetea,wewe kama humpendi wewe (hukatazwi) ila kuna watu wana mkubali huwezi badilisha hili.

Hasa WCB ni kampuni ya biashara na Zuchu ni bidhaa yao,so lazima ipewe promo ili ifanye vizuri sokoni,resources wanazo za kuwa beba wasanii wao,acha wawabebe.

Wengine hawajakatazwa(tena wanapata airtime karibia radio zote),plus platforms kibao wanaweza kuzitumia kufanya promo.

Alafu unalalamika anafanyiwa promo,ukitizama anafanyiwa promo na radio moja mnapiga kelele je vipi hao wanaofanyiwa promo karibia na vituo vyote vikubwa mbona hawawi wakubwa au hata kukua kimziki.

HII NI BIASHARA NA HAJAKATAZWA MTU KUFANYA PROMO.ILA ALWAYS NUMBER HAZIDANGANYI.
 
Brother umejitolea kumtetea [emoji16]

Ila Kuna tofauti ya Fans mkuu

JIDE = JIDE

VEE = VEE

ZUCHU = WCB

Kubali tu bila promo asingefikia hiyo level aliyonayo ila anatakiwa kukaza tu ili atengeneze fan base yake mwenyewe. Hata Harmo angepotea kama asingefanya hardwork na pia kupata back up ya watu wakubwa
Hata uwe na kipaji vipi bila promo hutoboi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nina mtetea au Number ndizo zina mtetea,wewe kama humpendi wewe (hukatazwi) ila kuna watu wana mkubali huwezi badilisha hili.

Hasa WCB ni kampuni ya biashara na Zuchu ni bidhaa yao,so lazima ipewe promo ili ifanye vizuri sokoni,resources wanazo za kuwa beba wasanii wao,acha wawabebe.

Wengine hawajakatazwa(tena wanapata airtime karibia radio zote),plus platforms kibao wanaweza kuzitumia kufanya promo.

Alafu unalalamika anafanyiwa promo,ukitizama anafanyiwa promo na radio moja mnapiga kelele je vipi hao wanaofanyiwa promo karibia na vituo vyote vikubwa mbona hawawi wakubwa au hata kukua kimziki.

HII NI BIASHARA NA HAJAKATAZWA MTU KUFANYA PROMO.ILA ALWAYS NUMBER HAZIDANGANYI.

Promo zote kwa sasa msingi ni social media. Its only in social media ambapo promo zinaweza kufanyiwa targetting ya ukweli tofauti na traditional media kama Tv au Radio. Wewe jua hatq hizo media houses zinahaha kuendana na kasi ya mtandao maana zinajua fika mtandao una power kiasi gani kuliko wao

Hata Diamond angekuwa ashapotezwa kama asingekuwa na alternative ya media houses kubwa "nayo ni social media na kukua kwa digital platforms haswa baada ya kuingia kwa smartphones ambazo zimemfanya kila mtu kupata access ya mtandao". Hii ndo pona yake BISHA KATAA

Kingine umeng'ang'ania namba sana wakati ni kitu kimoja na sio final. Ndio maana unaweza kuta kuna mastar wana millions of followers ila wanashindwa kupata endorsements ZA makampuni. Hapo ndio utajua numbers inakupa uwezo wa kuhakiki ila sio kufanyq maamuzi sahihi

natumai umeelewa
 
Msanii ndio kwanza ana miezi 7 unataka ndani ya miezi hiyo hiyo apate endorsement duuuuu.......? Yaani ukimchukia mtuu unachukia tu ili mradiiii.....🤣🤣

Hata huyo Diamond na ukubwa wake hajawahi kupata endorsement ndani ya miezi hiyo,ila kupitia Number hizi za digital platform zinakupa picha halisi kwa kinachokuja mbele ndio maana siku zote Number hazi danganyi,zaidi ya hapo UTAKUWA UNAONGEA HISIA ZAKO BINAFSI.

Pona yake nini wewe vipi MBONA UNA HAMISHA MAGOLI au ULITAKA DIAMOND ADONDOKE,ukijariwa kitu fulani lazima ukitumie kwa faida yako,WEWE ULITAKA HASIKITUMIE?

Ninachojua hata maji yawe ya moto vipi yata urudia ubaridi wake ipo hivyo,ila kwa Diamond bado tena bado sana UTAENDELEA KUSUBIRI sana,hamna msanii anayejua timing ya mziki huu wa Bongo kama Diamond na ndio yy ndiye kioo cha mziki huu.
 
Nyie endeleeni kusubiria hao wasanii wenu, Zuchu is laughing all way to the bank.
Number zake hazidanganyi na msioziona mnajifanya kujitia upofu.
Uzuri au ubora wa kitu tunaujulia sokoni, sasa mniambie hamjaona number zake apple, spotify, audiomack nk nk, achana na youtube maana ni ya bure hyo.
Zuchu anafanya muziki wa kumuingizia mahela na sio muziki wa kufanyia Fiesta.
 
Mi sijawahi sikiliza nyimbo zake na sijui anaimbaje, nimemjua sahizi humu baada ya mdau kuweka picha yake.

Lakini huyu dada sio siri lets be honest ametrend ghafla sana hususani humu mitandaoni, mwanzo nilijua atakua yuko katika system za kisiasa

Kuhusu hilo swala la kwamba wasiompenda wapo wachache nataka kujua hiyo tafiti umeitolea wapi? Na ni sensa iliyofanyikia wapi?
Kule kwenye sheria wana msemo unasema "res ipso liquotor" yaani "thing speaks for itself"...haina haja ya takwimu au utafiti hapa we ingia platforms zote uone ni jinsi gani watu wamempkea huyo dada...kuanzia kwenye online trending mpk shows zake chache ambazo mpk sasa ameperform...na pia huko huko online angalia idadi ya wanaoponda na wanaosifia utaona tofauti, ila hata humu jamii forums wanaomkubali ni wengi kuliko wasiomuelewa.
 
Utofauti wangu mi na nyie ni kwamba Mi sio shabiki wa kufata trend
 
Wapo WCB...ila kwa sasa bosi kawekeza nguvu kwa Zuchu...mbona tunajua halafu mambo ya kawaida tu..Zuchu mwenyewe analijua hilo.
Akiamua mumsikilize Darleen mtamsikiliza tu nyie si watu wa trend bhana...
Muziki ni biashara leo hii Mboso unayemuona yule baada ya kuachwa na Fella alikua fala mmoja tu street huko...sa hizi mnamuimba coz amekuwa signed WCB la sivyo msinge mgrade hapo na hamjawahi kumgrade hapo coz mbosso kaanza kuimba kabla WCB haijamtoa Kondeboy....usitake kupinga power ya promotion ndugu.
Promo ni promo ubora ni ubora, she is overrated mbona usikii watu wa kisema hivyo kwa Vanessa au Jide? yeye aonewe wivu kivipi? Mzuri sana au?
Kweli kuna watu wanaona tunamuone
Msanii ndio kwanza ana miezi 7 unataka ndani ya miezi hiyo hiyo apate endorsement duuuuu.......? Yaani ukimchukia mtuu unachukia tu ili mradiiii.....🤣🤣

Hata huyo Diamond na ukubwa wake hajawahi kupata endorsement ndani ya miezi hiyo,ila kupitia Number hizi za digital platform zinakupa picha halisi kwa kinachokuja mbele ndio maana siku zote Number hazi danganyi,zaidi ya hapo UTAKUWA UNAONGEA HISIA ZAKO BINAFSI.

Pona yake nini wewe vipi MBONA UNA HAMISHA MAGOLI au ULITAKA DIAMOND ADONDOKE,ukijariwa kitu fulani lazima ukitumie kwa faida yako,WEWE ULITAKA HASIKITUMIE?

Ninachojua hata maji yawe ya moto vipi yata urudia ubaridi wake ipo hivyo,ila kwa Diamond bado tena bado sana UTAENDELEA KUSUBIRI sana,hamna msanii anayejua timing ya mziki huu wa Bongo kama Diamond na ndio yy ndiye kioo cha mziki huu.
Ok anamiez 7, katoa ngoma ngapi mpaka sasa? Ana hata hit song moja pamoja na kubandika bandua nyimbo?
 
Kweli kuna watu wanaona tunamuone

Ok anamiez 7, katoa ngoma ngapi mpaka sasa? Ana hata hit song moja pamoja na kubandika bandua nyimbo?
Kwa hiyo hit song lazima mpaka wewe uikubali?
Kwa hiyo wewe ukiikubali inakuwa certified hit?

Usilazimishe kila mtu awe kama wewe,kila mmoja ana moyo wake na taste yale ktk mziki.Ndio maana Boomplay Dogo anafanya vizuri still bado anaendelea kukua.Kwangu mimi LITAWACHOMA,KWARU NA WANA ni hit songs.

Usichokipenda WEWE USIZANI WENGINE HAWAKIPENDI 👇👇👇👇👇
119820899_192370639176867_2221769476444744477_n.jpg
119131716_2843475665752845_7827528939226131497_n.jpg
118473945_650646492519480_8178443286330637342_n.jpg
118144229_1144623482584473_8452963802657239319_n.jpg
 
na ndo hivo vitu wengne hawana kwani huyo ibrah wa harmo yukowapi katoa nyimbo moja alafu kaenda wapi???harmo anasaini kila siku lakini zuchu yuko sawa jamani
Yah! Ni kweli kabisa unachosema ni msanii mkali! Sema me sio shabiki wa mziki wake na kwa kusema hivi sio kwamba hajui nop! Ila moja ya vitu vingine tofauti alichonacho me napenda mwonekano wake tu...
 
Brother umejitolea kumtetea 😁

Ila Kuna tofauti ya Fans mkuu

JIDE = JIDE

VEE = VEE

ZUCHU = WCB

Kubali tu bila promo asingefikia hiyo level aliyonayo ila anatakiwa kukaza tu ili atengeneze fan base yake mwenyewe. Hata Harmo angepotea kama asingefanya hardwork na pia kupata back up ya watu wakubwa
hivi ndugu umeona promo anayopewa lady jay dee pale clouds kuanzia tv, radio hadi kwenye social media zao siku za hivi karibuni???
Kumbuka lady jay dee ana followers million 4 kwenye instagram yake na wimbo wake umepostiwa na watu kama 5 wenye followers Zaidi ya million 1akina ay,mwana fa, Millard Ayo,n.k ila mpaka sasa una views elfu hamsini halafu huko kwenye digital platforms hata haionekani. Hivi maana yake nini???
Kazi kama mbovu hata uipe promo vipi haitasapotiwa.
 
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na tumkubali hivyo hivyo. Naamini hata waliompokea kwa nguvu zote wanakua dissapointed sasa maana ngoma mpya na Mondi nikajua ndo wamemaliza kumbe ndo wanakazia mulemule alimopitia kwenye nyimbo za mwanzo ambazo hata hujui ipi ni ipi zote mulemule na makelele mengi.

Nilianza kupata imani kwenue ngoma ya Karantini ambayo alifanya vizuri japo aliefunika mule ni Queen Darleen na ile verse 'Karantini yangu mi na machizi ni kuparty na usingizi.

Ila tuache utani WCB kama pamoja na kumpika zuchu na tena kumpa collabo na mondi ndio mmetoa project mbovu hivi naanza kuamini sasa hampo serious aisee, nyie hatujawazoea kulipualipua kazi.
Zuchu km zuchu
 
Back
Top Bottom