Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Probably true, lakini nadhani ndio maana ya kuwa na recording label.kwahy yeye anahitaji jitihada zaidi ili kumaintain hiki ki2 hasa ukizingatia yupo kwenye label kubwa Kama WCB yenye mashabiki wengi East Africa
yeap kama nilivyosema "watu wanaiona WCB kabla ya kumuona zuchu so, anatakiwa kutengeneza fan base yake mwenyewe"
 
Acheni choyo waungwana, kingwendu anaeleweka itakuwa Zuchu. Aina ya nyimbo na mziki aliokuja nao kama huna vibez nao kamtafute vanesa umsikilize.
 
Ni kawaida mkuu kila mtu na ladha yake

Sijawahi kumuelewa Jide commando hata wimbo mmoja
Naona kama anaimba kwaya vile
Lakini namuheshimu mmno kama mmoja wa wanamuziki nguli kwasababu ya credibility mtaani

So wewe kutokumuelewa Zuchu hakumfanyi kuwa hajui muziki
 
yeap kama nilivyosema "watu wanaiona WCB kabla ya kumuona zuchu so, anatakiwa kutengeneza fan base yake mwenyewe"
Hizi ngonjera za kutembelea nyota ya wcb au diamond zilianza kitambo enzi Hamonizer akapondwa sana anamuiga mond na anabebwa na lebel......muda umeongea
Rayvan, mbosso, lava lava wote hadithi zenu ni hizo hizo tu

Sichojua ni kwamba muziki siku hizi unaendeshwa kibiashara, msanii anatengenezwa na akatengenezeka kitaalamu
Enzi za kupata wasanii kama 20 pacent kwa dunia hii itakua ngumu sana
Lazma utengenezwe
 
Back
Top Bottom