Mtu akikuchukia mara nyingi huwa hana sababu.
Mara Dogo anabebwa na Diamond,Mara Diamond kashuka.Sasa msanii anayeshuka anawezaje kumbeba msanii mchanga.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Msanii ndio kwanza ana miezi 7 ,kwani hata Harmonize humu JF kulikuwa na threads kibao za kumponda anafanana na Diamond na kuna watu humu humu walidai Harmo hato fika mbali,wakadai Mondi anapoteza hela yake lkn leo ndiye msanii wanaye mkubali.
Zuchu ana miezi saba impact yake inaiona kwamba anazidi kukua ila mwisho wa siku Number zitaongea tu,usichokipenda usikitie hila ukazani wote hawa kipendi kwani Number zinazidi kukuumbua.