Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

@Culture Me ni KE, ni kweli ni LGBT member, uliza maswali lakini sidhani kama itakua poa kwa uzi wa watu.
Oooh,wala sio mengi ni moja tu....lini ulitambua wewe ni LGBTQ....Z?Lini hasa..nani alikwambia au ulijiambia wewe binafsi...well,kuanzia leo mimi ni.......!
 
Kaka chai umekunywa lakini maana sio kwa essay hii, hahahahaha

TANGU JESHII ATOKE WASAFI NURU YA MONDI INAZIDI KUFIFIA YAAN KAFUBAA HANA RAHA KABISA, KAJAZA WAIMBA TAARABU BASI KICHWA KINAZIDI KUMUUMA.

cocastic niongeze sauti au inatosha babe, lol [emoji1]
Bora wee uwape tu ukweli, ili waelewe lol[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Napenda sana team wasafi wanavyopanic yaan wanatamani hata wavue boxer wavae vichwani hahaha nikiwa bored hua naenda kuwachokoza youtube channels zao weeee halafu wanaitana basi wanatiririka hapooo me nacheka tu, wakitulia nawapa lingine wanaanza upyaaa, very fun. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe basi mie ndo huwa napoteza stress maan wanapovuka hai lol
 
Oooh,wala sio mengi ni moja tu....lini ulitambua wewe ni LGBTQ....Z?Lini hasa..nani alikwambia au ulijiambia wewe binafsi...well,kuanzia leo mimi ni.......!
Nilijua i like girls nilipobalehe, mambo ya crush na nini, lakini hasa kujua kama lesbian nilipokua miaka 19, my first woman tought me kila kitu.
 
Kwa style hii ndo basi tena keshatoboa mana historia inaonesha ukiona mtu anaanza kupondwa sana basi ujue nyota yake ipo juu sana kwa mwaka huo.

Ss nyie bila kujua mnampa kiki la kufa mtu na kanyimbo kake kamoja.
 
Back
Top Bottom