Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Hivi unawezaje kumuongelea mtu ambaye hujawai kumsikia 😂😂😂
Kwanza hujaonesha wapi nilisema "hana talent anabebwa"

Pili hata hapa kuna kosa umelifanya ambalo ukiulizwa huwezi kulitolea majibu

Ni indicators gani zimekufanya uhisi namuongelea mtu ambaye simjui?

Hii pia inatosha kuthibitisha kwamba hujui kuzingatia unachosoma
 
Kwanza lazima tukubali kwamba promo ni kitu cha muhimu sana katika kazi yoyote.

Lakini kumbuka pia wasanii kama Alikiba anapewa promo kubwa sana na media kubwa za burudani hapa nchini kuanzia kwenye redio,tv hadi social media zao, kwa nini katika kipindi chote hicho kaja kupitwa na huyu binti ndani ya kipindi kifupi katika digital platforms mbalimbali???

Inakuwaje mtu wanamsifia, wanasema ana kipaji, ana pata promotion kubwa ya media kubwa halafu mwisho wa siku hawasapoti kazi zake mitandaoni???

Ndio maana nasema kazi nzuri inatembea yenyewe. Kama kazi mbovu hata upewe promo ita buma tu.
 
Umeongea point mzee
 
Ikiwa promo kubwa ndio inabeba msanii mbona Alikiba akui?
 
Hakui kama nani?

Unamlinganisha na nani kujua kwamba huyu hakui?

Hakui katika nyenzo zipi? Na zipi sababu?
Kwenye hatua za mziki kiba Sasa hiv kazidiwa hata na harmonize japo alikuwa anapewa promo kubwa
 
Ok
 
Chief kama wewe Hujamwelewa kuna wanao mwelewa sana
 
huyo Diamond kama angekuwa anasikiliza maneno ya watu kama wewe si dhani kama angekuwa amemtoa msanii hata mmoja sasa hivi kwa maana hata mbosso ilikuwa hivi hivi lakini leo yupo mbali.

Hivi unataka useme lavalava yupo level moja na mbosso au rayvanny hivi sasa???

Lady jay dee anapewa promo kubwa na clouds hivi karibuni, mbona hatrend kama zuchu??? Au mondi ni zaidi ya clouds???

Anyways,Sikupangii cha kuongea ila maneno kama"kidemu","chawa",sio mazuri kuyatumia kwa mwanadamu mwenzako ambaye hata hakujui zaidi ni kujitafutia laana tu.
 
Kwakweli wasafi ni jina kubwa mi nilikua nalichukulia poa, ila kwa zuchu ndo nimeamini jina la wasafi lina nguvu mno
Mbn Kuna queen darling Kuna lava lava lkn wanaukubwa gani na wapi wcb, think again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…