mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not always
Wasafi Jina kubwa kaka ndo maan watu wote wanaoizunguka wasafi wanakua wakubwa angalia kuanzia photographers, mamenej, hadi mashabiki tuuh kuna page za fans wa wcb zinafollowers hadi MILLIONKwakweli wasafi ni jina kubwa mi nilikua nalichukulia poa, ila kwa zuchu ndo nimeamini jina la wasafi lina nguvu mno
Wewe kishuzi wacha wengeWe simbilisi unadhan nimekurupuka kuandika huu uzi? Hebu fuatilia huu uzi utaelewa
Lavalava na queen Darleen wapo wapi???Anabebwa na jina la Wasafi
WasafiLavalava na queen Darleen wapo wapi???
Na me nakuuliza kwanini Ruby kapotezewa na watanzania?
Hakuna hicho kitu. Kazi nzuri inaongea yenyewe na umati ndio utaongea sio mtu mmoja mmoja kama wewe.Alaah kumbe ndo huyu!
Halafu Kuwa na wafuasi milioni moja haiondoi maana ya mleta mada kua dada anaimba nyimbo mbovu
Hakuna kitu kibaya kama kua mashabiki wa kufata trend.
Kwa nini wao hawafanyi vizuri kama zuchu licha ya kuwa kwenye label ileile???Wasafi
Kwa mtazamo wangu lavalava yuko talented kuliko hicho kidemuKwa nini wao hawafanyi vizuri kama zuchu licha ya kuwa kwenye label ileile???
Duh hii kali...unasema hujawai sikiliza nyimbo zake lakini hapo hapo unasema hana talent anabebwa!Mi sijawahi sikiliza nyimbo zake na sijui anaimbaje, nimemjua sahizi humu baada ya mdau kuweka picha yake.
Lakini huyu dada sio siri lets be honest ametrend ghafla sana hususani humu mitandaoni, mwanzo nilijua atakua yuko katika system za kisiasa
Kuhusu hilo swala la kwamba wasiompenda wapo wachache nataka kujua hiyo tafiti umeitolea wapi? Na ni sensa iliyofanyikia wapi?
Kama kazi inaongea kwanini uwe na kazi ya ziada kuitetea?Hakuna hicho kitu. Kazi nzuri inaongea yenyewe na umati ndio utaongea sio mtu mmoja mmoja kama wewe.
Harmonize tangu atoke wcb hana hata nyimbo aliyovuka views million 5 pale YouTube zaidi ya uno na inazidi kuongezeka views kila siku kwa spidi nzuri tu.
Unataka useme factor hapo ni ushabiki au ubora wa kazi???
Chawa hawa mkuu wako kaziniKama kazi inaongea kwanini uwe na kazi ya ziada kuitetea?
Huoni kwamba kuitetea kwako pia ni kuiongelea?
Na kwasababu umeiongelea huoni pia hiyo inatoa tafsiri kwamba kazi haiongei na ndio maana bila promo unayoipigia kuna uwezekano isifanye vizuri endapo utaiacha isimame yenyewe kama yenyewe?
Harmonize kuanzia anapojiunga hadi anakuja kuondoka wcb sijawahi kusikikiza nyimbo zake na kum-rate kwa mapana ambayo nyinyi mmekua mkimuongolea
Halafu kingine cha ziada unachopaswa kujua ni kutotumia kipimo cha views kupima ubora wa mashairi alafu kiwango cha views utachopata ndio kiwe hitimisho kujua umahiri wa msanii
Kwanza nioneshe mahali nilopsema kua "hana talent anabebwa"Duh hii kali...unasema hujawai sikiliza nyimbo zake lakini hapo hapo unasema hana talent anabebwa!
Sasa mtu ambaye hujawai sikiliza wimbo wake hata mmoja umeonaje kama anabebwa na hana talent?
Chuki inakutesa mkuu mpaka ujielewi.
Hivi unawezaje kumuongelea mtu ambaye hujawai kumsikia 😂😂😂Kwanza nioneshe mahali nilopsema kua "hana talent anabebwa"