Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Nyimbo za wasafi unaweza kuchukua hata mwaka ndiyo ikaja kuipenda naokawa kwenye playlist ya simu yako
 
Kwakweli wasafi ni jina kubwa mi nilikua nalichukulia poa, ila kwa zuchu ndo nimeamini jina la wasafi lina nguvu mno
Wasafi Jina kubwa kaka ndo maan watu wote wanaoizunguka wasafi wanakua wakubwa angalia kuanzia photographers, mamenej, hadi mashabiki tuuh kuna page za fans wa wcb zinafollowers hadi MILLION
 
Jambo ambalo halipingiki ni kwamba WCB ni brand kubwa, hata demu anayetoka na msafi akiwa mjanja anatoboa

Ndio sababu vidampa kama Zuchu wanatelezea tu
Hakuna mwanamuziki mle
 
Alaah kumbe ndo huyu!

Halafu Kuwa na wafuasi milioni moja haiondoi maana ya mleta mada kua dada anaimba nyimbo mbovu

Hakuna kitu kibaya kama kua mashabiki wa kufata trend.
Hakuna hicho kitu. Kazi nzuri inaongea yenyewe na umati ndio utaongea sio mtu mmoja mmoja kama wewe.

Harmonize tangu atoke wcb hana hata nyimbo aliyovuka views million 5 pale YouTube zaidi ya uno na inazidi kuongezeka views kila siku kwa spidi nzuri tu.
Unataka useme factor hapo ni ushabiki au ubora wa kazi???
 
Kwa nini wao hawafanyi vizuri kama zuchu licha ya kuwa kwenye label ileile???
Kwa mtazamo wangu lavalava yuko talented kuliko hicho kidemu
Unazungumzia kufanya vizuri, mimi nafikiri alifanya vizuri wakati wake mbona nyimbo zililia sana mtaani
Hata isingekuwa hivyo Zuchu ni vile bosi ameamua kutumia nguvu kubwa kumpandisha sababu ndio mgeni, msanii yoyote tu Bosi akiamua kuweka nguvu huko atawika

Mimi sina shida na wasafi, ila hako kadogo hata kukajadili naona nakapaisha tu na nyinyi chawa ndio mnatuponzaga
 
Mi sijawahi sikiliza nyimbo zake na sijui anaimbaje, nimemjua sahizi humu baada ya mdau kuweka picha yake.

Lakini huyu dada sio siri lets be honest ametrend ghafla sana hususani humu mitandaoni, mwanzo nilijua atakua yuko katika system za kisiasa

Kuhusu hilo swala la kwamba wasiompenda wapo wachache nataka kujua hiyo tafiti umeitolea wapi? Na ni sensa iliyofanyikia wapi?
Duh hii kali...unasema hujawai sikiliza nyimbo zake lakini hapo hapo unasema hana talent anabebwa!

Sasa mtu ambaye hujawai sikiliza wimbo wake hata mmoja umeonaje kama anabebwa na hana talent?

Chuki inakutesa mkuu mpaka ujielewi.
 
Hakuna hicho kitu. Kazi nzuri inaongea yenyewe na umati ndio utaongea sio mtu mmoja mmoja kama wewe.

Harmonize tangu atoke wcb hana hata nyimbo aliyovuka views million 5 pale YouTube zaidi ya uno na inazidi kuongezeka views kila siku kwa spidi nzuri tu.
Unataka useme factor hapo ni ushabiki au ubora wa kazi???
Kama kazi inaongea kwanini uwe na kazi ya ziada kuitetea?

Huoni kwamba kuitetea kwako pia ni kuiongelea?

Na kwasababu umeiongelea huoni pia hiyo inatoa tafsiri kwamba kazi haiongei na ndio maana bila promo unayoipigia kuna uwezekano isifanye vizuri endapo utaiacha isimame yenyewe kama yenyewe?

Harmonize kuanzia anapojiunga hadi anakuja kuondoka wcb sijawahi kusikikiza nyimbo zake na kum-rate kwa mapana ambayo nyinyi mmekua mkimuongolea

Halafu kingine cha ziada unachopaswa kujua ni kutotumia kipimo cha views kupima ubora wa mashairi alafu kiwango cha views utachopata ndio kiwe hitimisho kujua umahiri wa msanii
 
  • Thanks
Reactions: T11

Chawa hawa mkuu wako kazini
 
Duh hii kali...unasema hujawai sikiliza nyimbo zake lakini hapo hapo unasema hana talent anabebwa!

Sasa mtu ambaye hujawai sikiliza wimbo wake hata mmoja umeonaje kama anabebwa na hana talent?

Chuki inakutesa mkuu mpaka ujielewi.
Kwanza nioneshe mahali nilopsema kua "hana talent anabebwa"
 
Back
Top Bottom