Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Nimekuwa nikifuatiria toka kijana mdogo alivyopewa ajira kwenye kikosi cha zimamoto kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiongea saana, na wengine wamefikia kusema kijana wamempoteza tu ilitakiwa aulizwe anataka nini apewe na asepe.
Jamaani ukweli ni kuwa ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana acheni kumuonea wivu kijana wa watu, ajira mpya niko nao hapa na wengine wanakopa supu ya buku jero kwa mama ntilie, punguzeni chuki, wivu na husda japo hizi ni sifa za waswahili na watu masikini ( dhaiful hal).