Kwani wewe umejiajiri?Huyo seki anashindwa kujiajiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe umejiajiri?Huyo seki anashindwa kujiajiri?
Ni kweli OK ndiye Orest Kawau. Kama anavyopenda kujiita mwenyewe Mr. OKSory hapo kwenye title ok ndo inamaanisha orest kawau au?
Huenda nimekurupuk kumbe[emoji85]
Kawau ndiyo huyo wa kwanza kabisa kushoto, baada ya Kawau ndio Seki, Adella na huyo Baba Levo.Soli mkuu hapo kawau ndio yupi
Mary Edward kumbe naye hasikiki hapo siku hizi!? Kweli Magic fm imenitoka. Atakuwa naye amekimbia tunduni, au!?Mery nae yuko wapi
Sante sanaKawau ndiyo huyo wa kwanza kabisa kushoto, baada ya Kawau ndio Seki, Adella na huyo Baba Levo.
point yangu ni kuwa vipind vyake vinahiti ila vikipotea ndo hakuna njiw ya kuvirudishaNaikumbuka ila kipaji chake kilianza kuonekana kipindi anaigiza Mambo hayo na akina JB,Bishanga,Waridi baadaye ndipo akawa mtangazaji wa kipindi cha City Sound,then the comedy now mtangazaji Wasafi Fm.
Duuuuuh Aristote tena? Heeeh kaloweshwa?Wewe Aristote hujasema hapo juu kuwa duniani hakuna jipya au ushaloweshwa huko nyuma ?
OK ana vocal safi sana From Magic.Kikosi kipya kabisa ndani ya Wasafi fm kwenye kipindi cha jioni. Seki , Babalevo, OK na Adela Tillya.
Wajumbe mnaizungumziaje hii timu? Mimi binafsi namuamini sana Seki ana akili nyingi ataleta mapinduzi makubwa hajawai kufanya kazi mbovu.
View attachment 1556996
mbona wote ni wa kawaida sana hao tena adela mweupe kabisa kichwani ndio maana wakamtoa kile kipindi cha joto la asubuhi na nafasi yake kuchukuliwa na irene kilengaKikosi kipya kabisa ndani ya Wasafi fm kwenye kipindi cha jioni. Seki , Babalevo, OK na Adela Tillya.
Wajumbe mnaizungumziaje hii timu? Mimi binafsi namuamini sana Seki ana akili nyingi ataleta mapinduzi makubwa hajawai kufanya kazi mbovu.
View attachment 1556996
Jahazi lililochangamkaHiyo ndiyo Jahazi ya Wasafi fm sio?
Magic na channel10 zimekuwa za kithenge sana tanga zilipotangazwa kuwa chini ya mafisadi wa ccmkumbe ndo mana kila nikiweka magic nakutana na hawa watoto wa kubana pua wanasifu na kuabudu muda wote
Sasa udiwani wake kigoma vipi?Baba levo ni faya. Akina cheka tu wamtesti baba levo mara moja tu hawatajuta.
Udiwani upi wakati alishakaangwa hukuona video alipost kuna mtendaji anaitwa mariam huko kigoma ni kauzu yaani babalevo na ubabe wake alipost analia kama kabanwa mbupuHiyo Baba Levi akishinda Udiwani atatumikiaje mabwana wawili