Mnaonaje hii combination ya Seki, Babalevo, OK na Adela ndani ya Wasafi FM?

Mnaonaje hii combination ya Seki, Babalevo, OK na Adela ndani ya Wasafi FM?

Naikumbuka ila kipaji chake kilianza kuonekana kipindi anaigiza Mambo hayo na akina JB,Bishanga,Waridi baadaye ndipo akawa mtangazaji wa kipindi cha City Sound,then the comedy now mtangazaji Wasafi Fm.
point yangu ni kuwa vipind vyake vinahiti ila vikipotea ndo hakuna njiw ya kuvirudisha

enzi za mambo hayo... yeye alikuwa na character ya mtoto mtukutu sana, wizi n. k.......kama akina kitale wa sku hiz...
je anashindwaje kui brand idea zake
 
Shida ni baba levo! Utani sio kila mahali na uandishi wa habari kuna kipaji na kusoma na ueweledi
 
Kikosi kipya kabisa ndani ya Wasafi fm kwenye kipindi cha jioni. Seki , Babalevo, OK na Adela Tillya.

Wajumbe mnaizungumziaje hii timu? Mimi binafsi namuamini sana Seki ana akili nyingi ataleta mapinduzi makubwa hajawai kufanya kazi mbovu.

View attachment 1556996
OK ana vocal safi sana From Magic.

Adela Tillya kashakimbia Efm Doooooh

Seki Namkubali sana kwenye Utangazaji ana Ucomedy flan "amazing".

Baba Levo anaongea sana yupo vizuri safi perfect kombo.
 
Kikosi kipya kabisa ndani ya Wasafi fm kwenye kipindi cha jioni. Seki , Babalevo, OK na Adela Tillya.

Wajumbe mnaizungumziaje hii timu? Mimi binafsi namuamini sana Seki ana akili nyingi ataleta mapinduzi makubwa hajawai kufanya kazi mbovu.

View attachment 1556996
mbona wote ni wa kawaida sana hao tena adela mweupe kabisa kichwani ndio maana wakamtoa kile kipindi cha joto la asubuhi na nafasi yake kuchukuliwa na irene kilenga
 
kumbe ndo mana kila nikiweka magic nakutana na hawa watoto wa kubana pua wanasifu na kuabudu muda wote
Magic na channel10 zimekuwa za kithenge sana tanga zilipotangazwa kuwa chini ya mafisadi wa ccm
 
Hiyo Baba Levi akishinda Udiwani atatumikiaje mabwana wawili
Udiwani upi wakati alishakaangwa hukuona video alipost kuna mtendaji anaitwa mariam huko kigoma ni kauzu yaani babalevo na ubabe wake alipost analia kama kabanwa mbupu
 
Back
Top Bottom