No Escape2
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 228
- 323
Kuna watu watalipwa 5000/= mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na wiki 2, wafanyakazi wanatakiwa walipwe per hour.
Unforgetable
[emoji2021]Manners Maketh Man[emoji2021]
Mnaonaje kama watumishi wote wa serikali pamoja na wale wa taasisi kubwa binafsi wakianza kulipwa mishahara yao kila baada ya wiki mbili na sio wiki nne (mwezi mmoja) kama ilivyozoeleka sasa?
5000/= kwa kipindi cha muda gani mkuu?Kuna watu watalipwa 5000/= mkuu!
Tanzania pia tunaweza kama tukiamua mkuu. Au wewe unasemaje juu ya hili?Fortnight pay ipo zaidi majuu ndo wanalipa kila baada ya wiki mbili.
Hili pia ni wazo jema sana mkuu. Ngoja wadau wengine nao waje watie neno hapaKwanini isiwe per day?..mtu ukimaliza kazi unalamba chako,na usipokuwepo kazini hupewi chako ova!
Ndio hivyo mkuu. Wafanyakazi wanapitiaga wakati mgumu sana ifikapo tarehe 15.Hiyo itawapunguzia wafanyakazi milima wanayokumbana nayo kabla yakuzifikia wiki 4
Mhhh, mkuu wapi huko?...Wanalipwa mishahara midogo sana kila baada ya week nne...
Ninazungumzia malipo ya wiki 4 Vs malipo ya wiki 2 hao vibarua sio sehemu ya mjadala huu mzee babaKibarua analipwa kwa kutwa tofauti na skilled labour mwenye mkataba
Itakuwa majanga kivipi ndugu yangu?Wakilipwa kila baada ya week mbili itakua majanga zaidi kwao.