Mnaonaje Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035?

Kama unayo hiyo katiba endelea kusoma utakuta kifungu kinachomzuia Maza kuchaguliwa 2030 kama atafanikiwa kuendela 2025.
 
Xi Jinping, Vladimir Putin na Paul Kagame hawajui mwisho wa pumzi zao? Mbona mataifa yao yako vizuri sana kimaendeleo? Wameondokana na gharama na vuta nikuvute za demokrasia ya chaguzi.
Ni kwa kuwa unasoma magazetini Tu hujaenda ukaona mwenyewe hali ilivyo Na ukaishi nao Hao watu wa huko
 
Nadhani hujaelewa swali langu? Nauliza mabeyo ndio ameapa kuwa rais wa nchi au?
Sahiz samia ndio president sio vice tena. Una uhakika gani hajapewa hizo siri?
Ndio, kapewa siri na Mabeyo

Mabeyo alitamka kwenye mazishi ya JPM kwamba ana siri ambazo Samia hana.

Magu alikuwa anamruka Vice President Samia anatunza siri za nchi na Mabeyo, Samia alishaonekana toka zamani hajiwezi na hafai kuwa na security clearance ya CDF na POTZA
 
Nini kimekufanya uwaze mawazo maovu kiasi hicho?Anakuvutia kwa uregevu wa macho?
Kumbuka 17 Machi si salama kwa wanaonuia kuongeza muhula
 
"Magu alikuwa anamruka vice" Realy?
Its known kuna level za information ambazo waliopo chini ya rais hawatakiwi kuzifahamu.
Serikalini information zinaenda kwa levels. Kuna mambo kiongozi wako ofcn anayajua ww hufaham.

Hilo ni suala la kawaida. Limekuwa hivyo miaka yote. Nothing special
So si point ya ku overrate hiyo situation.
 
CDF Mabeyo yeye alikuwa juu ya Rais ?

How come CDF ana siri za Ikulu ambazo VC kafichwa ?
 
CDF Mabeyo yeye alikuwa juu ya Rais ?

How come CDF ana siri za Ikulu ambazo VC kafichwa ?
Unayajua majukumu ya cdf?
Cdf hayuko juu ya rais lakin anawajibika kwa rais moja kwa moja bila kupitia kokote.
Yes vice ni mtu wa chin tu kama wazir mkuu na wengine. Rais anaweza order siri flan zisitoke.. nani ajue na nani asijue.
 
Nchi inaongozwa Kwa misingi ya katiba na siyo kwa miyemko
 
Watu wanapambana kupatikana katiba mpya ambayo ni borakuwezesha upatikanaji wa viongozi wanaotokana na kura za wananchi na sio maamuzi ya kikundi Cha watu wewe unataka kuturudisha nyuma hebu jaribu kutumia hata sehemu ndogo ya akili yako badala ya kutumia mata.ko kufikiria
 
Unayajua majukumu ya cdf?
Cdf hayuko juu ya rais lakin anawajibika kwa rais moja kwa moja bila kupitia kokote.
Yes vice ni mtu wa chin tu kama wazir mkuu na wengine. Rais anaweza order siri flan zisitoke.. nani ajue na nani asijue.
Mkuu, Katiba inasema VP ndiyo mshauri namba moja wa rais.
 
Akimuachia FAM leo,nitaunga mkono aongezewe muda wa kugombea uraisi ulio huru na wa haki na chama chake.
 
hata akiongezewa mpaka 3000 ndio iwe nn CCM wamefeli hawana uwezo wakuleta jambo lolote la maana katika nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…