Mnaonaje tukibadilisha............?


hapo uliwadanganya mashahidi,iyo rangi ya cream au pink itamaanisha nn?
 
hapo uliwadanganya mashahidi,iyo rangi ya cream au pink itamaanisha nn?

heheee that will be out of white doa tayari have no special meaning lol. Hv na wanaume? Kuvaa suti na shati jeupe wale wanaovaa shati za rangi inakuweje? au suti pia ilitakiwa iwe white? au wao hawana kipima joto?
 
heheee that will be out of white doa tayari have no special meaning lol. Hv na wanaume? Kuvaa suti na shati jeupe wale wanaovaa shati za rangi inakuweje? au suti pia ilitakiwa iwe white? au wao hawana kipima joto?

yuo made me lough,wanaume hatuna kipima joto,ndio maana tunaweza kuvaa nyeusi,kijani,bluu,zambarau na nyinginezo,
 
hahaaaa kuonesha kwamba ukuta wa berlin ulishavunjwa na damu ikamwagika.......lol....

Hiyo inaonyesha nimekamilika.... Ukuta uwepo mpaka age hii kwani nina mkosi gani mie??
 
Hiyo inaonyesha nimekamilika.... Ukuta uwepo mpaka age hii kwani nina mkosi gani mie??

hiyo ilitakiwa iwe zawadi ya ushindi kwa atakayechukua jumla,sas umewaachia kunguru wameambaaa nayo,unajua vile bwana atajisikia fahari na kukupenda zaidi endapi yeye ndie atakuwa amekivunja kikombe yeye mwenyewe,sasa vile unakuwa ile seal imeondolewa inaonyesh ulikuwa mpiga gemu mahiri so hata bwana anakuwa sio mwenye upendo mwingi......nataka kikombe nivunje mimi mwenyewe.......
 
What if hiyo bikira alionjeshwa bwana harusi ikiwa sehemu ya ku-seal contract?

Pamoja na yote hayo tukubali tu kiroho safi kua white inapendeza bana inamfanya bibi harusi anashine, habari za kuvaa rangi za kizee nani anataka??hata wale ambao dini inawataka kuvaa za rangi nyingine siku hizi nao wanavaa white unafanya mchezo?!

Ladies Ladies tafadhali vigezo na masharti ya gauni unalotakiwa kuvaa kulingana na hali uliyonayo wakati wa tukio Mkuu Baba V keshatoa mbona mnachakachua?
 
Last edited by a moderator:
Huku kwetu wenye mimba wanavaa la blue,asie bikra la khaki,mcharuko red,aliyewahi kuolewa before black!

Mkuu what if nnayemuoa ni mcharuko, hana hiyo makitu(obviously), alishaachika kwa talaka3 na mimi kwa kuogopa wajanja wasijenzidi kete nkapachika na mimba sasa c atavaa kachumbari kabisa (khaki kidogo, blue kwa mbali, black kwa sana na kitu cha blood)?
 
yaani kuwa wengine labda tuvae magunia maana hata kitambaa tunakia-abyuzi.
 
yaani kuwa wengine labda tuvae magunia maana hata kitambaa tunakia-abyuzi.

kumaanisha imeshatumika sana au?lakini hata hilo gunia lisiwe la rangi nyeupe tafadhali.
 
litakuwa na mkusanyiko wa black, blood red, hudhurungi, dark budaraka, samawati, chanikiwiti ba zambarau.

Nyeupe hata mawe yatabisha.

kumaanisha imeshatumika sana au?lakini hata hilo gunia lisiwe la rangi nyeupe tafadhali.
 
Nimewahi kusimuliwa kuwa kuna kabila fulani kwamba wenyewe ilikuwa siku ya harusi kama kawaida bibi harusi anapiga white gauni then baada ya kufungishwa ndoa;wanandoa hutakiwa kuuthibitishia umma kuwa binti ni mweupe kweli,basi hapo binti atakabidhiwa kitambaa cheupe mkononi na kuingia faragha na mume huku nyuma ndugu,jamaa,marafiki na wageni wengine wakisubiri kwa hamu matokeo.Basi wanandoa hao hufanya mapenzi na ikitokea binti akawa bikira kweli na kutolewa siku hiyo;basi atatumia kile kitambaa cheupe kujifuta zile damu na kukionyesha kwa waty waliokuwa wakisubiria,baada ya hapo sherehe huwa kubwa sana,Wazazi hupongezwa sana kwa kumtunza mwali na muda mwinginefamilia ya bwana hutoa ng'ombe wengi sana kama shukrni kumtunza bibi.
 
Halafu huwa nasikiaga kuwa mwanamke kamwe hawezi kumsahau kidume aliyemwonyesha njia(kumtoa bikira),je ni kweli?
 

nyie,wanaume,hamueleweki,ulivunja,mwenyewe,unamuona,mshamba,mara,shake,b4,use,which,is,whi
 

Sio tu hivyo unakuta mwanamke anafanyiwa send off wakati alikua anaishi na mwanaume why? Hivi wabongo mnajua maana ya send off lakini? Hii ilikua miaka ile ya zamani wakati msichana anaishi kwa wazazi wake mpaka siku ya harusi bt siku hizi unakuta couples zinaishi pamoja miaka 5 afu eti msichana anafanyiwa send off ni unafiki mtupu
 
nyie,wanaume,hamueleweki,ulivunja,mwenyewe,unamuona,mshamba,mara,shake,b4,use,which,is,whi

linda kilicho chako m,amaa,hiyo seal ni zawadi muhimu sana kwa hubby wako na sio kwa makunguru ohoooo.
 

hilo nalo ni tatizo,ahsante kwa kupanua mjadala.
 
thanx 4 ua truthness
 
haki gani tena kwani uyo bwana arus atarud kutoa feedbaki?ni siri yao hukohuko ua part z over mtazamo 2 jamani
 

Huyo bwana, mi ndio nifanye kazi ya kumuwekea avunje? Yeye kwa nini nae asingeweka chake akivunje siku ya ndoa?? Hahahaaaaaa... Hiyo biashara kwangu haipo.. Wacha tuu wote tuonane wengi wa habari... Na ni huo umahiri wangu wa game ndio unaomfanya anioe... Upo hapo???
 
haki gani tena kwani uyo bwana arus atarud kutoa feedbaki?ni siri yao hukohuko ua part z over mtazamo 2 jamani

hawatuletei feedback,ila unaona kabisaa bi harusi tayari mjamzito afu baada ya ndoa wanaenda honey moon kufanya nini?watu walukuwa wanaishi pamoja then baada ya kufunga ndoa wanaenda honey moon kufanya nn wakati watu walishajuana kitambo?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…