Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
- Thread starter
- #21
nshafunga ndoa mie nina miaka kadhaa sasa na watoto tele ninao ila siku nilipokuwa nafunga ndoa mama alirudi tena na ile theme yake ya usafi na nguo nyeupe akataka nivae gauni la cream ila mume wangu akakataa akasema vaa white tupendeze waifu basi ikawa hivo maybe kwenye annivessary ya miaka kadhaa hv ntavaa cream au pikn
hapo uliwadanganya mashahidi,iyo rangi ya cream au pink itamaanisha nn?