Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,266
- 1,264
hiyo bikira itapimwaje?
Microscope
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo bikira itapimwaje?
[/QUOTE]mi l,yk post yako sanaaa, tunaonea hapa kha,
wanasahau[
wengi wameolewa na machenza ndoa wameshindwa kuzitunza, na wako kibao wa wameolewa na machungwa na ndoa zinashine balaaa,
halaf, hata makazn cku hz job experience inahusika tena kuanzia miaka mi3 hailalish una mavyet yako.......mpoooooooooooooooooooooo QUOTE=neylu;4344961]Huyo bwana, mi ndio nifanye kazi ya kumuwekea avunje? Yeye kwa nini nae asingeweka chake akivunje siku ya ndoa?? Hahahaaaaaa... Hiyo biashara kwangu haipo.. Wacha tuu wote tuonane wengi wa habari... Na ni huo umahiri wangu wa game ndio unaomfanya anioe... Upo hapo???
hivi upendo ni kwenye kudoo tu ndo unadhihirisha sio ? asa vp upande wa bwana harusi ukute asha taste bucha kadha afu akazipiga chini akaamua kumuoa huyu mwali dah yani wanaume bana quite unfair people ,
kwa hiyo sisi tulio onjana tukitaka kuoana tuvae black coz tayari kwa bibi harusi kuna tundu? Alafu kwa nini mambo mengi ya kindoa yamekaa kumtazama mwanamke tu ok bibi arusi akiwa bikra avae white je kwa nin principle hii imemkalia kimya babu arusi?
utawajua tu wasio na bikra, ona wanavyotoka povu..... teh teh... teh.
[/QUOTE]we ushawavunjishia wangapi???, achen kutuonea bwana, yaan nyie kungonoka kabla ruksa, ikiwa sie kosa
sasa huyo mwanamke anaempa mwenzie zawad ya bikra huyo mwanaume ye anampa zawad gan???[
QUOTE=Nakapanya;4342975]hiyo ilitakiwa iwe zawadi ya ushindi kwa atakayechukua jumla,sas umewaachia kunguru wameambaaa nayo,unajua vile bwana atajisikia fahari na kukupenda zaidi endapi yeye ndie atakuwa amekivunja kikombe yeye mwenyewe,sasa vile unakuwa ile seal imeondolewa inaonyesh ulikuwa mpiga gemu mahiri so hata bwana anakuwa sio mwenye upendo mwingi......nataka kikombe nivunje mimi mwenyewe.......
Mi nimeshabadilika tayari.. Nitavaa gauni la rangi ya damu ya mzee..
suala la msingi pia kujiuliza je mwanaume ana bikira?
Huyo bwana, mi ndio nifanye kazi ya kumuwekea avunje? Yeye kwa nini nae asingeweka chake akivunje siku ya ndoa?? Hahahaaaaaa... Hiyo biashara kwangu haipo.. Wacha tuu wote tuonane wengi wa habari... Na ni huo umahiri wangu wa game ndio unaomfanya anioe... Upo hapo???
................neyluuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwani we unafikili ubikra ni li ngozi tu UBIKRA WANAMANISHA KUJITUNZA NA VITU VINGINE KIBAO
hapo anakuwa tayari amevunja utaratibu,inatakiwa ile kitu itolewe wakati tayari wameshingia kwenye ndoa,kuvaa nguo nyeupe inatoa ushahidi kwa ndugu,jamaa na marafiki kuwa mtoto wetu ni msafi na anakwenda kumtunuku bikira hiyo mume.
ahahahahaaaaaaaaaaaaaaa
dah wee kila mzigo unakuta hakuna cha password wala nn ,taste na bucha za ukonga huenda ukapata sealed[/QUOTE]sijawahi kupata bahati ya kumtoa mtu bikra,we unajisikiaje kuitoa bikra yako ya thamani kabla ya ndoa?