KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
BP Chuga ni shidaaa pia msisahau mkienda kuosha magari kodoeni macho kodo wanavuta petrol kwa mirijawataalamu wanadai kuwa kituo chochote Tanzania kama kinaendesha na TOTAL, GAPCO na ORIX kinaweza kuaminika, nasikia hata BP kabla haijabadilishwa ilikuwa vizuri sana lakini kwa sasa usithubutu. Hii inahusu vipimo sahihi na ubora wa mafuta yaani uchakachuaji.
BP ni kampuni makini, wana pesa na reputation duniani kote. Kwa taarifa yako ni kuwa walishajiondoa kitambo kwenye retailing ya mafuta TZ baada ya kuona soko 'limeingiliwa' na mamlaka zilizokuwepo kuridhia.BP Chuga ni shidaaa pia msisahau mkienda kuosha magari kodoeni macho kodo wanavuta petrol kwa mirija
Kuna cku jini likaniishia mafuta mitaa ya mbezi,nikaomba kidumu kwa jamaa wa boda boda,nilipoenda petrol station na kidumu,nikaaambiwa meneja aruhusu kununua mafuta kwenye kidumu,ikabidi niwe mpoleDawa nikwenda na kidumu chako sheli baasi unapaki gari pembeni unachukua kidumu unanunua mafuta yako unajaza kwenye gari unasepa
Wanajua wanachofanya yaani ni wezi kinomaKuna cku jini likaniishia mafuta mitaa ya mbezi,nikaomba kidumu kwa jamaa wa boda boda,nilipoenda petrol station na kidumu,nikaaambiwa meneja aruhusu kununua mafuta kwenye kidumu,ikabidi niwe mpole
Ndo wapi hao mzeeBP sinza ni hatari. Especially ukiweka mafuta mda wa usiku.Chukueni tahadhari
Oil com wamenila juzjuz yaan niliendesha kwa hasira sanaTotal wako poa ila Oil com sio ishu
Wanaruhusu hii kweli mkuuDawa nikwenda na kidumu chako sheli baasi unapaki gari pembeni unachukua kidumu unanunua mafuta yako unajaza kwenye gari unasepa
Mita inaweza kusoma lkn wakakuibia badochunga sana wale wanaokwambia SOGEA MBELE hawa wanataka usione ile mita inavyosoma kueni makini nao au mmoja anachukua hela mmoja anakujazia mafuta kuwa makini huyu anayechukuwa hela anakuwa anakuziba au kukufanya usiwe makini na mita ingawa sio wote lakini tahadhari muhimu.
Wale victoria ni wadini waleYani Nina wiki mbili nalalamika mbona mafuta yanaisha haraka sana lohhh yani had ilibidi niwe nacheck labda tanki linavuja..yani hali mbaya..nimechange vituo kama kumi, ila nilipojaza Victoria sijapata shida