Mnaongeleaje wizi wa mafuta sheli, yaani kujaza upepo?

Mnaongeleaje wizi wa mafuta sheli, yaani kujaza upepo?

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,520
Reaction score
2,816
Hii inaonekana sana.kuna wizi mkubwa sana kwenye mafuta ya sheli apa mjini
Adi inafikia mda mtu unatamani uichome sheli moto
Na pia ni sheli gani hazina wizi huu na nini kifanyike

Karibuni kwa mahojiano mazurmazur
 
wataalamu wanadai kuwa kituo chochote Tanzania kama kinaendesha na TOTAL, GAPCO na ORIX kinaweza kuaminika, nasikia hata BP kabla haijabadilishwa ilikuwa vizuri sana lakini kwa sasa usithubutu. Hii inahusu vipimo sahihi na ubora wa mafuta yaani uchakachuaji.
 
BP Chuga ni shidaaa pia msisahau mkienda kuosha magari kodoeni macho kodo wanavuta petrol kwa mirija
 
BP Chuga ni shidaaa pia msisahau mkienda kuosha magari kodoeni macho kodo wanavuta petrol kwa mirija
BP ni kampuni makini, wana pesa na reputation duniani kote. Kwa taarifa yako ni kuwa walishajiondoa kitambo kwenye retailing ya mafuta TZ baada ya kuona soko 'limeingiliwa' na mamlaka zilizokuwepo kuridhia.
 
Dawa nikwenda na kidumu chako sheli baasi unapaki gari pembeni unachukua kidumu unanunua mafuta yako unajaza kwenye gari unasepa
Kuna cku jini likaniishia mafuta mitaa ya mbezi,nikaomba kidumu kwa jamaa wa boda boda,nilipoenda petrol station na kidumu,nikaaambiwa meneja aruhusu kununua mafuta kwenye kidumu,ikabidi niwe mpole
 
chunga sana wale wanaokwambia SOGEA MBELE hawa wanataka usione ile mita inavyosoma kueni makini nao au mmoja anachukua hela mmoja anakujazia mafuta kuwa makini huyu anayechukuwa hela anakuwa anakuziba au kukufanya usiwe makini na mita ingawa sio wote lakini tahadhari muhimu.
 
Mie kwakweli niko na sheli yangu maalum hapa uraian ndio naweka mafuta, karbia wafanyakaz wengi nmekuwa nao na wengine ni kaka zangu kabsa, ile mie bado dogo naoiga boli wananiona, napyenga kamas kwa stail ya nike wananiona so ndio ninao waamin zaid.. Kujaza sheli tofaut itokee bahat mbay tuu.. Wiz huu upo kuna sheli walikuwa hawatak kabsa kupima wese kwenye kidumu
 
chunga sana wale wanaokwambia SOGEA MBELE hawa wanataka usione ile mita inavyosoma kueni makini nao au mmoja anachukua hela mmoja anakujazia mafuta kuwa makini huyu anayechukuwa hela anakuwa anakuziba au kukufanya usiwe makini na mita ingawa sio wote lakini tahadhari muhimu.
Mita inaweza kusoma lkn wakakuibia bado
Wa2 wajanjabasee hii dunia
 
Yani Nina wiki mbili nalalamika mbona mafuta yanaisha haraka sana lohhh yani had ilibidi niwe nacheck labda tanki linavuja..yani hali mbaya..nimechange vituo kama kumi, ila nilipojaza Victoria sijapata shida
Wale victoria ni wadini wale
Pale pana aminika sana
Lkn kibaya ni kuwa vituo vyao sio vingi
 
Back
Top Bottom