supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
BP ni kampuni makini, wana pesa na reputation duniani kote. Kwa taarifa yako ni kuwa walishajiondoa kitambo kwenye retailing ya mafuta TZ baada ya kuona soko 'limeingiliwa' na mamlaka zilizokuwepo kuridhia.
Wale ni hatari sanaKinara wa wizi wa mafuta Tanzania ni OilCom ya barabara ya Kawe karibu na Rainbow
Wanaita kuuwa nyokaBP Chuga ni shidaaa pia msisahau mkienda kuosha magari kodoeni macho kodo wanavuta petrol kwa mirija
Dah...mkuu...huwa unanunua meli nzima?[emoji13] [emoji13]Mafuta ni kununua asbuh tu, ukinunua wkt kuna high temperatures density yake inakua ndogo
Dah...mkuu...huwa unanunua meli nzima?[emoji13] [emoji13]
Hahaha! Mazoea tu hayo ya watanzania ila hakipo.Nadhani Shell walikuwa ndio wakwaza kuanza kuuza mafuta kwenye soko la retail, so watanzania wakajikuta wanazoea hilo jina na ikawa kawaida kwa watu kuita jina la kaampuni ya Shell kwa kila kituo.Mmmh hichi kituo cha mafuta kinachoitwa shell kipo maeneo gani kwa dar
Wanaruhusu sema wale wezi waliobana pump zao wanagomagaWanaruhusu hii kweli mkuu
Ok hapo sawa nimekuelewa asanteHahaha! Mazoea tu hayo ya watanzania ila hakipo.Nadhani Shell walikuwa ndio wakwaza kuanza kuuza mafuta kwenye soko la retail, so watanzania wakajikuta wanazoea hilo jina na ikawa kawaida kwa watu kuita jina la kaampuni ya Shell kwa kila kituo.
hawajajipndoa Bali bp iliuzwa kwa puma energy! usitoe taarifa za uongo kama hauna dataBP ni kampuni makini, wana pesa na reputation duniani kote. Kwa taarifa yako ni kuwa walishajiondoa kitambo kwenye retailing ya mafuta TZ baada ya kuona soko 'limeingiliwa' na mamlaka zilizokuwepo kuridhia.