Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,025
- 2,261
Cc: EURA na TBS.BP sinza ni hatari. Especially ukiweka mafuta mda wa usiku.Chukueni tahadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc: EURA na TBS.BP sinza ni hatari. Especially ukiweka mafuta mda wa usiku.Chukueni tahadhari
GBP ya kilwa road traffic right za uhasibu jamaa wapo vizuri sana,sio wezizinaitwa GBP mkuu
Karibia wote tu. Nilitaka kurusha ngumi pale Tabata- Shule! Unajua uzuri gari kama umelizoea mafuta ya Tsh 20,000 au 30,000 utajua tu yanafika level gani. Sasa ukipunjwa utajua tuKinara wa wizi wa mafuta Tanzania ni OilCom ya barabara ya Kawe karibu na Rainbow
Nadhani ni EWURA, japo vipimo wanahusika.Watanzania tuwe na tabia ya kudadisi au kutoa taarifa kwa taasisi husika pale inapotokea jambo ambalo si la kawaida.
KAMA sikosei taasisi inayohusika na masuala ya Vipimo ni WAKALA WA VIPIMO.
Ukiona unahisi umepunjwa mafuta toa taarifa ofisi ya Wakala wa Vipimo iliyopo karibu yako.
Ili kupunguza tatizo kama lipo toeni taarifa kwa wahusika. Kwa DSM ofisi zao zipo Jengo la NSSF Ilala Boma.
Bro hii haisaidiii-omba risiti.
-angalia mashine ya pump ya mafuta imesoma kiwango ulichotaka.
**wamiliki wa kampuni za mafuta hawatambui wizi huu unaofanywa na wafanyakazi**
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Dah...siku kilihappen zilipoingia Lita 120 kwenye tank lenye ujazo wa lita 100 lililokuwa robo tank kabla....wadada wa BP walinipenda ghafla...nilipewa mabusu makali...hasira zangu zikatulia[emoji13] [emoji13]
ulipigwa jamaa, pole sana!Kuna cku jini likaniishia mafuta mitaa ya mbezi,nikaomba kidumu kwa jamaa wa boda boda,nilipoenda petrol station na kidumu,nikaaambiwa meneja aruhusu kununua mafuta kwenye kidumu,ikabidi niwe mpole
Your talking of the impossiblesWatanzania tuwe na tabia ya kudadisi au kutoa taarifa kwa taasisi husika pale inapotokea jambo ambalo si la kawaida.
KAMA sikosei taasisi inayohusika na masuala ya Vipimo ni WAKALA WA VIPIMO.
Ukiona unahisi umepunjwa mafuta toa taarifa ofisi ya Wakala wa Vipimo iliyopo karibu yako.
Ili kupunguza tatizo kama lipo toeni taarifa kwa wahusika. Kwa DSM ofisi zao zipo Jengo la NSSF Ilala Boma.
ndio madhara ya kuweka graduates katika petro stesheni afu wanalipwa kama mtoa huduma wa huduma kwa wateja wa kabangAisee sinza kijiweni kituo cha Puma yaani ni waizi sana nimejaza mafuta ya 30 elfu kwenye harrier yangu bado taa ya kuonesha mafuta hamna inawaka yaani nilibishana nao sana wakaniambia harrier inatank kubwa niliondoka ila roho iliniuma sana kesho yake nikaenda mlimani city sheli iliyoko kwenye kona pale sijui inaitwaje nikaweka ya 20 elfu tu mshale wa mafuta ukaenda zaidi ya robo tank. Ndipo nikaamini kituo cha puma sinza kijiweni ni waizi
Sehemu kama hizo ogopa kama ukoma ni wezi wa nwendo kasi nao ni OilCom nadhani wanaongozaKuna cku jini likaniishia mafuta mitaa ya mbezi,nikaomba kidumu kwa jamaa wa boda boda,nilipoenda petrol station na kidumu,nikaaambiwa meneja aruhusu kununua mafuta kwenye kidumu,ikabidi niwe mpole
pole sana mKuu. ulikuwa pekeako au na shemeji?Bila kuwasahau oilcom tabata segerea ni nomaaaa, mi niliweka mafuta ya 20000 nkakiwasha kuelekea kinyerezi ile nafika magereza pale darajani taa ikawaka nlitukana njia nzima
Victoria wengi wanapasifiaHii imeshanitokea mara tatu Shell za OIL COM!
Mara ya kwanza ilikuwa OIL COM ya Njia ya Chini kule kawe karibu na Uchumi supermarket,
Mara ya Pili ni OIL COM ya Magomeni ukiwa umetokea njia ya Tandale
Mara ya tatu hii imenitokea Juzi kabisa weeknd hii maeneo ya Mbezi Tank Bovu ukitoka kanisa la KKT kwa mbele ukiwa unaelekea mwenge,Jamaa kaweka upepo kanipa na risiti Gauge haikusoma, Iliniuma sana! Ikabidi nikaweke tena VICTORIA mpaka leo nipo full
I swear ni Bora Gari Izime lakini sitaweka tena Mafuta ktk shell za OIL COM.
**Kama unadhani nawaharibia biashara, subiri yakukute****
Ukijigundua haujaelewa hapa basi huu uzi haukuhusu...!!!!Hivi vituo vya "shell" bado vipo?
Ukijigundua haujaelewa hapa basi huu uzi haukuhusu...!!!!
Haya nakujibu,Jibu swali wewe, wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango:
Hivi vituo vya "shell" bado vipo?