Mnaongeza sifuri kwenye ujenzi!

Hela zilizotumika hapo angejenga ya chini angekuwa keshahamia
 
Kamwe haiwezi fika hapo
 
Acha mambo yako wewe
 
Siyo kwa hapo kaka😂🤣
 
Yuko sahihi huwezi jua , tatizo letu tunatumia madarali kwenye kila kitu kwahiyo bei halisi ya hapo alipofikia tumuulize darali wake😂
 
wanadhani kujenga ni kutania
 
Nilichogundua humu waongeza sifuri ni wengi sana zote ni sifa za Instagram
 
Mtu anaweza akakwambia fagio tu la nyumba kanunua milioni
 
Ujenzi ni gharama ila 80m hapo haipo, hata 40 tu haipo nakataa, vinginevyo kwa kuwa mtu chake mkubalie.
 
Kama ni jengo la serikali basi ni sahihi lakini kama ni lako binafsi basi ni 25M haizidi hapo
 
Kuna wajinga wengi sana kwenye hii thread.
Mtoa mada. Fundi wako mjinga, mjinga saana. Mwizi.
Achana na hii thread tafuta fundi akujengee hiyo.
 
kama hujawahi kujenga huwezi kufanya makisio. Hebu kaulizie bei za vitu kama nondo, saruji na kadhalika uone.
We ndo ukaulize, huwezi kisia budget ya mil 80 kwa hicho kidude unless hujawahi kujenga. Na ninavyokuambia labda robo yake tu nnamaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…