HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hela zilizotumika hapo angejenga ya chini angekuwa keshahamiaNyie mnaongeza sifuri kwenye ujenzi mnatutoa sana kwenye reli hata pesa tunaishia kuhonga badala ya kujenga!
Kuja fundi alinitumia hii picha ya nyumba hapo chini na kuniambia hadi hapo ilipofikia imekula milioni 80,yaani nilitamani hata kumtia makofi!
Tuacheni tabia ya kuongeza sifuri kwenye ujenzi ili uonekane umejenga kwa milioni 200 kumbe umeongeza sifuri kwa mbele!
View attachment 2476704
Kweli hadi hapo ilipofikia ni milioni 80???[emoji276]