Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 920
ndio wapo China
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio wapo China
Mimi wiki iliypita nimepata niliagiza mwezi was ChinaKama ni kikuu tambua umetoa sadaka mkuu kikuu sio waaminifu
wanne mwishoni nimepokea watano mwishoni but ni kikuuUliagiza lini?
Gharama zao zikoje mkuuShida yao gharama
Wazee wa fake fakeNimeplace order kikuu nasubiria mzigo
Silent ocean gharama zao zikoje mkuu? Nafanyaje ili niweze kuwatumia?Mimi kitu kilichonikwamisha ni china new year tu covid haikuwa na shida kiivyo naongea na seller alafu nawapa id card ya courier company kama silent ocean wanapeleka mzigo kwenye godown zao then inakuja huku hiyo process ni mwezi tu haina usumbufu na bei chee
Ni matapeli. Waliniibia smart watch yangu!Kama ni kikuu tambua umetoa sadaka mkuu kikuu sio waaminifu
Sometimes but mizigo inafikaWazee wa fake fake
Mbona fresh nimeshachukua mzigo wangu juzi upo poa kabisaWazee wa fake fake
hata mimi nimenunua mzigo aliexpress tangu mwezi wa pili mzigo haujafika. na nimara yangu ya kwanza, naomba kuuliza hivi mizigo ikifika naichukulia wapi?Sidhani. Nimenununua vitu mwishoni mwe February aliexpress mpaka hii leo sijavionaa
Ndo imeanza kufika hivi karibuni. Ila mingi ya kipindi kile cha Korona ni kama imechelewahata mimi nimenunua mzigo aliexpress tangu mwezi wa pili mzigo haujafika. na nimara yangu ya kwanza, naomba kuuliza hivi mizigo ikifika naichukulia wapi?