Mnaonunua Alibaba na Aliexpress; Je, washaanza kutuma bidhaa baada ya corona?

Mnaonunua Alibaba na Aliexpress; Je, washaanza kutuma bidhaa baada ya corona?

Bado hali sii ya kuridhisha. Nilitaka agiza smartphone juzi lakini nilivyoona parcels zangu nilizoagiza May ndio zinafika,tena mmoja mmoja ,chap nikaghairisha.
Vipi sasa?
 
hata mimi nimenunua mzigo aliexpress tangu mwezi wa pili mzigo haujafika. na nimara yangu ya kwanza, naomba kuuliza hivi mizigo ikifika naichukulia wapi?
Corona imeku ishu sana n mbaka sasa mizigo inafika il kwa kusuasua.mim niliagiza taree 11 mwezi wa 3 imefika mwezi wa tisa taree za katikati
 
Mimi kitu kilichonikwamisha ni china new year tu covid haikuwa na shida kiivyo naongea na seller alafu nawapa id card ya courier company kama silent ocean wanapeleka mzigo kwenye godown zao then inakuja huku hiyo process ni mwezi tu haina usumbufu na bei chee
Mkuu.ukiwatoa silent ocean.ni kampun gan ambayo wana gharama nafuu na security ni nzur kwa shugul hii ya kusafirisha mizigo
 
Kuhusu alibaba sijui ila kwa njia yakutumia agente nimepokea mzigo wiki iliyopita na mwingine wiki ijayo na mwingine mwezi wa saba mwishoni lkn sipo [emoji1241]
Mkuu kampuni ipi bongo ambayo wana ghrama nafuu za kukusafirishia mzigo from china...ukitoa silent ocean...
 
Mkuu.ukiwatoa silent ocean.ni kampun gan ambayo wana gharama nafuu na security ni nzur kwa shugul hii ya kusafirisha mizigo
yapo mengi kuna ambayo hadi unalipa bima ya mzigo Kwanzaa dola 25 means uakika wa mzigo ni guarented..... makampuni ni haya ninayo yajua mimi tosh cargo, choice exp, bacenton, intercargo, uswa cargo ni wewe kuchagua tu makampuni mengi hayajaachana mengi ni 300 $ per cbm nakuendelea
 
Mkuu naomba utupe somo la kuagiza mzigo China. Haswa hapa bongo mzigo ukishafika malipo ni yapi na yapi mpaka unaupata mzigo wako haswa la mzigo mkubwa
kama unatumia hizi kampuni za ushafirishaji ni bora zaidi sababu wana mizigo mingi na bei inashuka kwanzia ya kusafirisha hadi ushuru....mzigo wako ukishafika wao watasimamia kila kitu utatarifiwa pale endapo watakuwa washamaliza process na utakuwa tayar kuchukua mzigo wako makampuni mengi yanafanya $300 na zaidi per cbm
 
kama unatumia hizi kampuni za ushafirishaji ni bora zaidi sababu wana mizigo mingi na bei inashuka kwanzia ya kusafirisha hadi ushuru....mzigo wako ukishafika wao watasimamia kila kitu utatarifiwa pale endapo watakuwa washamaliza process na utakuwa tayar kuchukua mzigo wako makampuni mengi yanafanya $600 na zaidi per cbm

Ni dola 600? Per cbm sijaelewa pia
 
yapo mengi kuna ambayo hadi unalipa bima ya mzigo Kwanzaa dola 25 means uakika wa mzigo ni guarented..... makampuni ni haya ninayo yajua mimi tosh cargo, choice exp, bacenton, intercargo, uswa cargo ni wewe kuchagua tu makampuni mengi hayajaachana mengi ni 300 $ per cbm nakuendelea
Sasa silent ni 450/CBM..wase.nge kweli
 
Mi niliagiza tarehe 11 Sept., naona tayari umeshaingia nchini
Screenshot_20201007-063849.jpg
 
Mizigo kwa sasa hivi inaingia sana. Kuanzia wiki tatu mpaka nne unapata percel yako Kama ukitumia AE standard shipping.
 
kama unatumia hizi kampuni za ushafirishaji ni bora zaidi sababu wana mizigo mingi na bei inashuka kwanzia ya kusafirisha hadi ushuru....mzigo wako ukishafika wao watasimamia kila kitu utatarifiwa pale endapo watakuwa washamaliza process na utakuwa tayar kuchukua mzigo wako makampuni mengi yanafanya $300 na zaidi per cbm
Silent ocean parcel wanasafirusha bei gani?
 
hata mimi nimenunua mzigo aliexpress tangu mwezi wa pili mzigo haujafika. na nimara yangu ya kwanza, naomba kuuliza hivi mizigo ikifika naichukulia wapi?
Nenda ofisi za post mzigo wako utakuwa umefika zamani, lakini pia tumia ile namba ya mzigo ku track mzigo ulipo
 
Back
Top Bottom