MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
Wale vijana pale show room ndio wanaagizwa hivyo vifaa/spare na washkaji then wanakwenda kuuza.Hao watu wa showrooms nao wawe na huruma. Gari ni used tena mnamuibia mteja.
Wanatoa utumbo, inafanya gari isiwe na nguvu kabisa....Kuna wimbi kubwa la usanii Wakati unapouziwa gari kwenye showroom: wateja wengi wanalalamika kuwa wauzaji wanaondoa Baadhi ya vifaa muhimu vya magari mf. Vifaa ndani ya Exhaust system n. k.
Kagua vizuri kabla na uende kununua ukiwa na fundi gari. Wengi hawakagui, wanastuka Baadae wanapopeleka magari service au yakianza KULETA Shida.
TUWE MAKINI.
Baba mwenye nyumba mwenyewe. Ulipoteaga wapi?!Wanatoa utumbo, inafanya gari isiwe na nguvu kabisa....
Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
Nipo ndugu majukumu ya kusimamia nyumbaniBaba mwenye nyumba mwenyewe. Ulipoteaga wapi?!
Yaani showroom wanaiba vifaa vya Gari wanalo muuzia mteja wao!!
Kuna vitu vinafanyika haviingii akilini kabisa,yaani mtu anaharibu sifa ya showroom yake kwa tamaa ya vitu vidogo vidogo?
Hizo showroom waweke CCTV camera,na wezi wote wawatimue kazi ili wakajue life lilivyo kitaani coz wanawaharibia sifa na uaminifu toka kwa wateja wao.