Kwa Dunia ya sasa haina sababu hata kidogo kununua wanawake wanao jiuza, ukiwa ni mtu wa safari kikazi, ktk maeneo hayo unaweza kua na watu wasio Malaya wakujiuza isipokua watu wanaojielewa ila wanaweza kukupa mwili any time.. hawa wa mitandaoni na wanaojipanga usiku mitaani, aisee kwanza wanaweza kukupa mikosi inayoweza kukuletea mabalaa ya muda mrefu ktk maisha yako, wakati mwingine wanalala na watu waliotoka kwa waganga na wamewafuata kulala nao na kuwaachia mikosi yao, yaani kimsingi Malaya anaye jiuza ana balaa la kufa mtu ktk ulimwengu wa roho.
Mnaendelea kulana ama ndo mmebaki tu kwenye ushkajiBro kuna malaya smart na ukimuona huwezi mdhania.
Nilikutana na mmoja mkoa flani wa Kanda ya kati, story inaanzia day one namkuta kaunta yupo kavaa smart, suruali ya kitambaa, shart na high hills moja matata, ukweli sikumzania nilimpiga ofa then sikumwambia kitu, mara ya 3 nikaomba namba kesho yake kuchart nae akakubali kunipa game. Hadi hapo nikaanza kusita maana alikubali kirahisi sana. Nikamshawashi niende kwake ili niweze kujua yeye ni mtu wa aina gani na status yake, kweli alinielekeza kumbe anaishi hotel kwa muda wa zaidi ya miezi 5. Siku hiyo ndio akanichana live kwa kutangaza dau la jiwe ili niweze kula mzigo, ila kabla ya hapo aliniomba radhi. Mzee baba ela nilikuwa nayo ila sikutaka kumpa nikajibalaguza kuwa nina pungufu, ila alikuwa humble sana, siku hiyo tuliishia kupiga story na kumkumbatia. Tukawa mara kibao tunachart kwa simu na kukutana bar. Siku kama masiala nikaomba mzigo na nilimchana kuwa nipo apeche alolo, kweli nilibahatika kutunukiwa baada ya kupima ngoma maana nilimwambia siwezi kutumia kitwana condo (condom). Hadi hii leo ni mshkaji wangu sana
Unapita hadi huku?🤣Mchumba nawe si haba
Kwahiyo upo kwenye magroup ya malaya?Wahuni wakiwa na nyege wanajilipua tu majuto baadae
Halafu wale mademu ni washirikana walikuwa wanatangaza kwenye group kama kuna kilema wa miguu lakini mashine inafanya kazi awafate inbox akawagonge bure sharti awe kilema
Mdau naku pm hu pmiki.
Sasa mimi namba ya nini hiyo?Mdau si uende direct tu kua unataka hiyo namba?
Mdau naku pm hu pmiki.
Ni kumchangia chochote kitu hiyo dada yetu, sema tutafikishaje michango yetu ndio tatizo.Kuna msaada unaouhitaji kaptein?
Kwahiyo unataka namba yake right?Ni kumchangia chochote kitu hiyo dada yetu, sema tutafikishaje michango yetu ndio tatizo.
Haswaaa, tumtumie chochote kitu mdau.Kwahiyo unataka namba yake right?
BalaaaYaani wanaume wa jf wamefunguka
We ni mzabzab ? Umeokoka?Mimi mwaka huu sitaongelea dhambi
Tizama sasa yamekuwa mapya mimi nimeamua kubadilika sitaki tena imetosha OKW BOBAN SUNZU ungana na mimi tutimize ndoto zetu miaka yaenda blood
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣We ni mzabzab ? Umeokoka?
Acha wadada wazuri wagawe utamu, Tena skuiz ukikutana nao au ukiwa nae chumbani unazawadiwa mpaka kisamvu, unaambiwa kula utakavyo baby ukitaka jilie pande zote kama samaki, wanajua mapenzi hao, wanajua kujiachia hatareInauma sana hivi kumbe haya mambo yapo? Nini kinawapata watoto wa kike wajiuze? Na mbaya zaidi eti elfu 10? Mbona kazi zinazoingiza elfu 10 kwa siku ni nyingi?
Mtu anawezaje lala na wanaume wa 4 kwa siku? Magonjwa je? Uchafu? Hao watu wanaoga kweli?
Mimi na huu uzee sijawahi kushiriki tendo na mwanaume ambae siko nae kwenye mahusiano hawa wadogo zetu wanawezaje?
Kazi zimekosa kiasi hiki? Kazi za kuuza duka mbona zipo nyingi? Kuuza uji ma ofisini mbona ni ajira tosha?
Ee Mungu watizame hawa watoto.naumia sana dah.
Hapo zamani za kaleKwahiyo upo kwenye magroup ya malaya?
Mwana nyamala [emoji1787]Uwanjja fisi,Sokota,Wailes,Tandika,Kigamboni au Mwananyamala?
[emoji23][emoji23][emoji23]