Hawa nao Malaya baridi
Kwa Dunia ya sasa haina sababu hata kidogo kununua wanawake wanao jiuza, ukiwa ni mtu wa safari kikazi, ktk maeneo hayo unaweza kua na watu wasio Malaya wakujiuza isipokua watu wanaojielewa ila wanaweza kukupa mwili any time.. hawa wa mitandaoni na wanaojipanga usiku mitaani, aisee kwanza wanaweza kukupa mikosi inayoweza kukuletea mabalaa ya muda mrefu ktk maisha yako, wakati mwingine wanalala na watu waliotoka kwa waganga na wamewafuata kulala nao na kuwaachia mikosi yao, yaani kimsingi Malaya anaye jiuza ana balaa la kufa mtu ktk ulimwengu wa roho.