raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Taa za club kila mtu anang'aa kila mtu anawaka πKuna malaya nilimchukua nikiwa tungi kwenye hizi bar zenye mataa ya rangi rangi...
Kuja kushtuka asubuhi nilijipa adhabu ya kutotomba kwa miezi mitatu...
*****[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Taa za club kila mtu anang'aa kila mtu anawaka [emoji2]
Inasikitisha sana. Kuna kipindi nilikuwa Arusha napiga mishe fulani. Nikaenda kupata chakula stand ndogo bar moja maarufu inaitwa Washington.Hawa watu sometimes sio kwamba wanapenda ni hali ya maisha...Kaka ukitaka kujua kuna wengine wanalia moyoni just kaa nao chini wafanye rafiki waulize watakwambia mengi sana na hapo ndo utaamini watu wanapitia maisha magumu.....
Kuna wakati mtu anakosa cha kushika na hajui afanye nini.
So bila kuwahukumu wafanye rafiki waulze wanataka nini,Na kwanini wako pale kama ni chakula wasaidie mnunulie hata kigunia cha mchele (kama una pesa) au mpe pesa kama ni kodi mlipie kodi naamini watabadilika...saa zingine muite piga naye stori muulize kwanini anafanya hivyo watakuambia..na kama ni shida tatua shida yake (Bila kuichakata mbususu) atakuheshimu kama ndugu yake.....
Lakini wote ni malaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Happy new year.
Kazana kutafuta malaya wasafi.
Epuka malaya wachafu.
Dah Mkuu mwenyezi Mungu akuzidishie sana pale ulipooungukiwa Hakika wewe ni Mfano wa kuigwaInasikitisha sana. Kuna kipindi nilikuwa Arusha napiga mishe fulani. Nikaenda kupata chakula stand ndogo bar moja maarufu inaitwa Washington.
Ilikuwa ni mchana. Kuna dada mmoja akawa amesimama pembeni ya barabara akawa ananiangalia sana. Alisimama pale kama dakika 30 hivi.
Ni binti mzuri sana. Nikaamua kumuita maana kwa muda niliokaa hapo, kiburudisho kilikuwa kinahitajika.
Nikamkaribisha msosi, akanywa kinywaji lakini kuondoka akawa hataki. Nikamuaga akaangalia kwa huruma sana, akasema tuondoke wote. Nikamwambia nimemuita nimpe chakula tu, akasema anataka kuondoka na mimi, nikamwambia mimi nimefikia lodge, na yeye ni mwanamke hatuwezi kwenda huko bila makubaliano yoyote.
Akasema hakuna shida, chochote nitakachompa ataridhika.
Alikuwa akiongea hivyo anaona aibu sana na almost anatetemeka. Ili kujua kama kweli hana shida nikamuuliza kwao ni wapi, akataja. Akasema anaishi na mama yake(ambaye ni mgonjwa sana) na mtoto wake ambaye amemuacha kwa sababu mama ni mgonjwa.
Nikamwambia kama kweli mama ni mgonjwa twende tukamsalimie, then turudi. Akakubali kishingo upande. Tukachukua bajaji tukaondoka kuelekea nje ya mji. Kabla ya kufika akapiga simu jirani akamletea mtoto kama wa miaka minne hivi, tukaenda kwao ambapo nilimkuta mama yake anaumwa sana. Hawezi hata kujisogeza. Kodi anapokaa imeisha hawajalipa kama miezi mitatu hivi, wameshapigiwa kelele sana. Yaani wanashindwa kuwafukuza sababu ya namna ya kumtoa huyo mama ndani.
Akanitambukisha kwa mama yake eti mimi ni rafiki yake, amenipeleka nikamsalimie.
Kwa hali niliyoikuta pale, nilimpa 150K, ili anunue chakula na aweke mambo Sawa, nikamuahidi kesho yake tuonane ili tukamilishe jambo letu(namna ya kumtoka).
Nilipotoka pale ikawa ndio mwisho wa kumuona maana alipiga sana simu bila mimi kupokea (ni lazima nifanye hivyo kwa sisi wenye familia akizoea inaweza leta shida kwenye familia.)
Kuna watu wanafanya hii kitu sio kwa kupenda kabisa, mambo yanakuwa magumu sana upande wao(japo haifanyi wanachokifanya kuwa sahihi)
Jamaa katupanga kimtindo. Kama katumia agent bei 10k na agent kachukua ngapi, sidhani kama kuna agent wa 3k.Huwezi ukachukua Malaya barabarani wale wa 500 ,1000 mpka 5000 uka.enjoy lazima ukutane na vituko wengi wanakuwa na mapele kwenye matako na mkanda wa jeshi wengine mabaka baka au mpapuchi mweusi tii wengine wanaokutana na vituko wananunua hawa
Malaya wa 10000 nae ni mule mule tu sema bora hawa kuliko hao juu
Kwanzia 20000 hapo ndio unaweza ku enjoy kama vile upo na demu wako au mkeo na hawa wa 20,000 ndio wanafanya wanaume wengi wawe addict wa kununua
Wengi wanaolalamika humu wamenunua wa 5000
Embu nunua wa kuanzia 20000 au hata 50,000 uone kama utakuja lalamika
Au wale wa 100, 000 wa exotic wakina tally Hunter uone unapigiwa na msamba kabisa [emoji16]
AMEN NA AZIDISHIWE. HAKIKA JAMAA NI ICONDah Mkuu mwenyezi Mungu akuzidishie sana pale ulipooungukiwa Hakika wewe ni Mfano wa kuigwa
Kwa wanawake wasivyo na shukrani, huyo ke akikutana na wenzake atasahau kila kitu na kumuita huyo jamaa bwege/fala[emoji38][emoji38]. Wana shukrani basi.... wengi ni viumbe wa ajabu sana, hapo likija jamaa na kumt#mba kisha likampa 5000 huyo ndo anavutiwa naye na kumuona mjanja[emoji38][emoji38][emoji38]. Wanawake bhana. Saikolojia yao ndogo sanaDah Mkuu mwenyezi Mungu akuzidishie sana pale ulipooungukiwa Hakika wewe ni Mfano wa kuigwa
Kwa wanawake wasivyo na shukrani, huyo ke akikutana na wenzake atasahau kila kitu na kumuita huyo jamaa bwege/fala[emoji38][emoji38]. Wana shukrani basi.... wengi ni viumbe wa ajabu sana, hapo likija jamaa na kumt#mba kisha likampa 5000 huyo ndo anavutiwa naye na kumuona mjanja[emoji38][emoji38][emoji38]. Wanawake bhana. Saikolojia yao ndogo sana.Inasikitisha sana. Kuna kipindi nilikuwa Arusha napiga mishe fulani. Nikaenda kupata chakula stand ndogo bar moja maarufu inaitwa Washington.
Ilikuwa ni mchana. Kuna dada mmoja akawa amesimama pembeni ya barabara akawa ananiangalia sana. Alisimama pale kama dakika 30 hivi.
Ni binti mzuri sana. Nikaamua kumuita maana kwa muda niliokaa hapo, kiburudisho kilikuwa kinahitajika.
Nikamkaribisha msosi, akanywa kinywaji lakini kuondoka akawa hataki. Nikamuaga akaangalia kwa huruma sana, akasema tuondoke wote. Nikamwambia nimemuita nimpe chakula tu, akasema anataka kuondoka na mimi, nikamwambia mimi nimefikia lodge, na yeye ni mwanamke hatuwezi kwenda huko bila makubaliano yoyote.
Akasema hakuna shida, chochote nitakachompa ataridhika.
Alikuwa akiongea hivyo anaona aibu sana na almost anatetemeka. Ili kujua kama kweli hana shida nikamuuliza kwao ni wapi, akataja. Akasema anaishi na mama yake(ambaye ni mgonjwa sana) na mtoto wake ambaye amemuacha kwa sababu mama ni mgonjwa.
Nikamwambia kama kweli mama ni mgonjwa twende tukamsalimie, then turudi. Akakubali kishingo upande. Tukachukua bajaji tukaondoka kuelekea nje ya mji. Kabla ya kufika akapiga simu jirani akamletea mtoto kama wa miaka minne hivi, tukaenda kwao ambapo nilimkuta mama yake anaumwa sana. Hawezi hata kujisogeza. Kodi anapokaa imeisha hawajalipa kama miezi mitatu hivi, wameshapigiwa kelele sana. Yaani wanashindwa kuwafukuza sababu ya namna ya kumtoa huyo mama ndani.
Akanitambukisha kwa mama yake eti mimi ni rafiki yake, amenipeleka nikamsalimie.
Kwa hali niliyoikuta pale, nilimpa 150K, ili anunue chakula na aweke mambo Sawa, nikamuahidi kesho yake tuonane ili tukamilishe jambo letu(namna ya kumtoka).
Nilipotoka pale ikawa ndio mwisho wa kumuona maana alipiga sana simu bila mimi kupokea (ni lazima nifanye hivyo kwa sisi wenye familia akizoea inaweza leta shida kwenye familia.)
Kuna watu wanafanya hii kitu sio kwa kupenda kabisa, mambo yanakuwa magumu sana upande wao(japo haifanyi wanachokifanya kuwa sahihi)
Ela ni zetu na miili ni yetuWanaume mnapenda ngono sana.. [emoji849][emoji849][emoji849]
Ahahahh hapo unatafutwa usafi πππ ila brand ni ile ile tuLakini wote ni malaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakyananiNi kumchangia chochote kitu hiyo dada yetu, sema tutafikishaje michango yetu ndio tatizo.
Sijakuona humu kabisa aiseeπ€£π€£π€£π€£π€£