Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

Kwa kweli haya maisha yana mengi.

Kuna siku nilienda kulewa pombe na jamaa yangu.Sasa mahali hapo pa kunywa kukawa na demu mmoja anatuhudumia vinywaji, baada ya pombe kukolea nikamuelewa yule binti na tukakubaliana bei rasmi.
Misheni inaanza namlipia bei ya siku hiyo kumtoa hapo Bar maana mda haujafika wa kutoka, tunafika hadi home frxh kabla hatujaanza mchakatano ananambia nitulie kwanza tusali, duuh nikaona hii si dhihaka hii kwa Bwana. Kweli Akasali bana ndo tukapiga gem na baada ya gem akasali pia tukalala na hapo sote tumelewa. Usiku naamshwa tena tusali mie nikasema Mungu hadhihakiwi but yeye akasema ni mwingi wa rehema akasali akaendelea kulala tena.
Asabuhi Sasa naamka namtizama yule binti vizuri ndio najiridhisha jinsi alivyo na makovu ya mikorogo miguuni, usoni na mikononi. Duuh naomba nisitumie maneno makali hapa.
Toka hapo ndio nikaamini kua kweli pombe ni haramu na inapozuiwa ni sahihi tu. Maana wakati nimelewa yule binti niliona mrembo mnoo, lakini pombe ilipoisha nikaona ni tofauti na nilivyoona kabisa.

Anyway Mungu amekuwa mwema siku zote.
 

Huenda nikawa tofauti ila hata katika mazingira ya kawaida, Hadi kufikia hatua ya kufurahia uumbaji, hua ni mchakato mrefu sana...mambo ya one night stand Sina na haijawahi kutokea. Siwezi kudondoka na mtu ghafla, yaani hivi hivi tu hatufahamiani vizuri tukapeane?
Lazima kuwe na vitu kadhaa vinatuweka pamoja au Kuna chemistry flani. Kwa utaratibu wangu, sitaki niunganishee na mtu Kwa sababu ya kupeana tu!
 
Malaya ni hela yako,hata telegram kuna mgroup tofauti na malaya wa viwango,pisi kali haswa,ukitaka dem wa elf 10 hap ndo standard ulipatiwa,ila kuna magroup kuunganishwa na pisi tu unamtumia dalali elf 15 mpaka 30 kulingana na grade ya pisi,na ukionana na pisi uandaw kuanzia laki mpaka laki 3!!!tatizo siyo telegram,tatizo ni pesa mzee!!
 
Hali inatisha mzee. Ushingae hao wanaume wenzio ndiyo wachungaji, wazee wa kanisa na shemasi wa kanisa lako
 
Halafu wale mademu ni washirikana walikuwa wanatangaza kwenye group kama kuna kilema wa miguu lakini mashine inafanya kazi awafate inbox akawagonge bure sharti awe kilema
Mkuu umenikumbusha

Niliendaga kula mrembo mmoja nyuma amejaza chura hotel moja pale maeneo ya mawasiliano, nikamkamua fresh nikamtoa na pesa ya bia juu maana baada ya game alisema ana hamu ya bia nikampa pesa yake nikampa na pesa ya bia

After one week nilianguka kwenye ngazi nikaumia mguu wa kushoto nilishindwa kutembea vizuri maumivu kila siku imenichukua almost miezi 8 ku-recover, nimeunganisha dots mkuu
 

Ubarikiwe sana mkuu.
Ni kweli hiyo siku nimemuita huyo Binti kuongea nae, nilimpatia 30k kufidia huo muda ambao huenda angepata mteja na mie nimeutumia kuongea nae.

Anasema haya maisha kama popo, Kila siku unachoka hakuna Cha maana unafanya, Kodi, wadogo wanakuangalia na hauna kipato cha kueleweka. Nikajikuta namhurumia tu.
 
Neno malaya kwanza limekaa kiuchafu uchafu alafu wewe unataka awe msafi akati yupo bize na simu kutafuta madanga atapata wapi mda wa kujiosha? Ukitaka malaya msafi muumbe wa kwako uwe unamnunua mwenyewe
 
Safi sana Mkuu...Huo ndio Uanamume...
 
Kuwa makini mkuu

Hawa Malaya wamebeba nuksi
 
Ukiwa barabarani angali bajaji kwa nyuma kuna matangazo na namba za simu.

Angalia google maps.

Angalia vibao barabarani.

Instagram.
Hapo si ndo tunarudi hapa hapa kwenye uzi wa jamaa coz vitu vya mtandaoni fake nyingi sana.

Wengi wanasema wanakuja kukufanyia massage kwako, mie nataka parlours kabisa au hii biashara ni haramu hapa bongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…