Kama ungeenda clinic za CTC penye watu waliochoka wako kwenye ARV watakusimulia kwa majonzi kuwa na wao walikuwa wakidhani kama unavyosema.Ndo ivo mkuu maisha ndo hayahaya tujilìe vitamu kama kufa tutakufa tu
Wapo waliokuwa na maisha mazuri waliokuwa wakaidi wasisikilize kabisa mawaidha ya wengine.
Rejea wimbo wa Starehe by Ferouz